Barabara ya Mwenge ni kero kwanini haikamiliki?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,185
Reaction score
24,565
Hii barabara haikamiliki hata kidogo, kibaya zaidi wanajenga na kuchimba mashimo makubwa
Kibaya zaidi baadhi ya vijipande wameminya njia na rest zinatengenezwa kama Garden na kuwekwa peving?
In fact barabara mwenge Tegeta mwenge hadi mawasiliano (Sam Nujoma) ni chaka la upigaji kinachofanyika pale ni ufujaji wa fedha za umma

Huo mradi unaingia mwaka wa tatu sasa bila matumaini ya kukamilika, kwa ujengaji ule foleni haitaisha kamwe, jamaa wameminya na kupunja njia sana huku maeneo ya katikati na pembeni wanaweka peving na garden kwa kujaza udongo mfano nzuri angalia kipande cha Mwenge lugalo walivyokiharibu, Angalia kipande cha Sam Nujoma walivyokiharibu.

In fact huu mradi unasuasua kiasi hadi Tanroad na wizara ya ujenzi wameukatia tamaa na kumwaacha mkandarasi afanye atakavyo
 
HAikamiliki kwa sababu pesa za kukamilisha zinafadhili magenge ya utekaji na kuua .
 
Na kuna story za El nino! Hiyo "kolabo" ya barabara mbovu na mvua nyingi ni msiba.
 
Nina mdogo wangu anafanya kazi hapo kwenye huo mradi wanapiga Hela balaa na wanaomba sana usiishe ili upigaji uendelee maana dogo Kila wikendi ananitafuta twende viwanja vya tabata na sinza tukapige balimi
 
Hii barabara haikamiliki hata kidogo, kibaya zaidi wanajenga na kuchimba mashimo makubwa
Kibaya zaidi baadhi ya vijipande wameminya njia na rest zinatengenezwa kama Garden na kuwekwa peving?
In fact barabara mwenge Tegeta mwenge hadi mawasiliano (Sam Nujoma) ni chaka la upigaji kinachofanyika pale ni ufujaji wa fedha za umma

Huo mradi unaingia mwaka wa tatu sasa bila matumaini ya kukamilika, kwa ujengaji ule foleni haitaisha kamwe, jamaa wameminya na kupunja njia sana huku maeneo ya katikati na pembeni wanaweka peving na garden kwa kujaza udongo mfano nzuri angalia kipande cha Mwenge lugalo walivyokiharibu, Angalia kipande cha Sam Nujoma walivyokiharibu.

In fact huu mradi unasuasua kiasi hadi Tanroad na wizara ya ujenzi wameukatia tamaa na kumwaacha mkandarasi afanye atakavyo
Miradi mingi ya TZ ni white elephant na upigaji ,sijui ni nani aliyefanya design ,barabara zote zinazojengwa wanachimba Deep Excavation bila sababu zozote za msingi ,nilikuwa natazama Vlogs youtube ni majanga ,barabara zaidi ya miaka mitatu hazikamiliki.

Ukija kuangalia Magari na vyombo vinavyotumika kwenye ujenzi ni mali za WAKUBWA serikalini ,vyote hivyo vinakodishwa kwa siku ,unaambia kukodi hizo gari moja ni kuanzia laki 5 hadi milioni ,sasa fikiria kwa miaka mitatu 365 * 3 zidisha kwa laki 5 hadi milioni unapata Tsh ngapi? Zote hiuzo zinaingia kwa WAHUNI.
 
barabara zitakamilikaje na wao wako bize kufukuzana uanachama wana waza vyeo kuliko maendeleo ya watu na kwakuwa mitanzania mingi ni mivilaza wala hakuna kitakachoendelea.majitu yamekasimu uwezo wa kufikiri kwa kimwanamke tena kiliochoolewa mke wa pili ili kifikiri kwa niaba yao. na ukitaka kujua hamnazo humo nchini hata angeteua mchengerwa mkwewe matkataka yangepongeza tu, hata angemteua abduli ama babaake abduli wangekenua meno tu. nchi imekua ya hovyo sana.
 
Nina mdogo wangu anafanya kazi hapo kwenye huo mradi wanapiga Hela balaa na wanaomba sana usiishe ili upigaji uendelee maana dogo Kila wikendi ananitafuta twende viwanja vya tabata na sinza tukapige balimi

Aiseee
 
Miradi mingi ya TZ ni white elephant na upigaji ,sijui ni nani aliyefanya design ,barabara zote zinazojengwa wanachimba Deep Excavation bila sababu zozote za msingi ,nilikuwa natazama Vlogs youtube ni majanga ,barabara zaidi ya miaka mitatu hazikamiliki.

Ukija kuangalia Magari na vyombo vinavyotumika kwenye ujenzi ni mali za WAKUBWA serikalini ,vyote hivyo vinakodishwa kwa siku ,unaambia kukodi hizo gari moja ni kuanzia laki 5 hadi milioni ,sasa fikiria kwa miaka mitatu 365 * 3 zidisha kwa laki 5 hadi milioni unapata Tsh ngapi? Zote hiuzo zinaingia kwa WAHUNI.

Aiseee
 
barabara zitakamilikaje na wao wako bize kufukuzana uanachama wana waza vyeo kuliko maendeleo ya watu na kwakuwa mitanzania mingi ni mivilaza wala hakuna kitakachoendelea.majitu yamekasimu uwezo wa kufikiri kwa kimwanamke tena kiliochoolewa mke wa pili ili kifikiri kwa niaba yao. na ukitaka kujua hamnazo humo nchini hata angeteua mchengerwa mkwewe matkataka yangepongeza tu, hata angemteua abduli ama babaake abduli wangekenua meno tu. nchi imekua ya hovyo sana.

Wapuuz mnoo
 
Back
Top Bottom