Kufuatia suala la sheikh Walid km kawaida yao wamekurupuka km wanavyokurupuka kwenye muandamo wa mwezi
Huenda ni maelekezo kutoka juu ila suala la siasa life nguvu kwa muda
Haya Allah tabaraka...
[Luk4:1]Na Yesu, hali amejaa Roho Mtakatifu, alirudi kutoka Yordani, akaongozwa na Roho muda wa siku arobaini nyikani
[Mat4:8]Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki...
Kero yangu ni kuhusu michango inayotozwa wanafunzi wa Shule ya Msingi VETA iliyopo Mbeya Mjini
Wanafunzi wanatakiwa kuchangia:
Shilingi 5,000 kila mwezi;
Shilingi 1,000 kila wiki;
Shilingi...
Kuweni makini wakuu.
Nimeanza kuona mauza uza kwenye account yangu ya JF, gafla inanitaka ni log in upya kuingiza details zangu.
Isije ikiwa watu wa mfumo wanafanya surveillance.
Nchi isha...
Jioni hii naona makala za waturuki kukumbuka siku ya jaribio la mapinduzi ila kwetu kuna wa puuzi October 29 ni kama kulikuwa na kibao kata cha chawa.
uturuki wanatuzidi mambo mengi leo mnaona...
Tunaomba Serikali na mamlaka husika kufuatilia changamoto za ardhi zinazodaiwa kujitokeza katika baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Ruvuma, hususan Kijiji cha Mtangimbole.
Inadaiwa kuwa baadhi ya...
Tunaposema matajiri wana siri nyingi na yeye ni mmoja wapo.
Kupewa neno la mnywa damu za watoto sio kwamba anakunywa damu za watoto.
Ila kutokana na tabia yake alivyoweza kuzima ndoto za watoto...
Nikifika hatua ya mwisho napata ujumbe huu, na nimefanya kila kitu kujaribujaribu bado ujumbe ni ule ule
Nimewasiliana na benk wanaelekeza na nafanya marekebisho wapi.
Nionacho wataalaam wa IT...
Nina mwezi sasa nafanya utafiti kuhusu masuala ya kodi, nimegundua mambo mengi sana ambayo majibu yake hata maafisa wa TRA wanajing'ata kujibu, moja ya jambo ni hili, inakuwaje wafanyabiashara...
Wala usijichoshe, hakuna.
Ushawahi jiuliza kwanini wanawake wanachukiana na kusengenyana?
Ni kwa sababu mtu pekee wa kuweza kumuelewa mwanamke hapa duniani ni mwanamke mwenzake ndio maana...
Refaree wa jana kwenye mechi ya kombe la dunia nusu fainali Uhispania vs Ufaransa Msalvador Ivan Barton aliacha alama ya kipekee na ya kudumu kwenye michuano ya kombe la dunia kwa kuweka msalaba...
Kwanza Mods msiunganishe uzi wangu hizi ni tuhuma zangu binafsi kwa kkaa zangu wa kiislam tukiwaambia wanawake sisi ni nuksi na mpunguze kulala na kila mwanamke anaejilengesha huwa hamjielewi ona...
Hakika itoshe kusema wamatumbi(ngozi nyeusi) hawatofautiani na nyumbu tu
Wamatumbi ndo watu pekee wanaweza kufanya jambo lile lile kwa miaka 50 straight bila kukinai
Wamatumbi ndio watu pekee...
Hatua sahihi zilizopaswa kuchukuliwa (nyuma ya pazia).
1. Kiongozi angeitwa mapema na wakuu wake baada ya fununu kwa kumsikiliza ili kupata ukweli na maoni yake (kama mkuu wa kaya)
2. kumuita...
Habari za jioni?
Shule ya msingi ya binafsi ya Kiingereza iliyopo Tanga mjini inatafuta mwalimu mzoefu wa kufundisha darasa la pili.
Awe za uzoefu na ari ya kupenda kufundisha watoto wadogo...
Zamani tulidhani kukua ni kuongezeka umri tu lakini kumbe kukua ni kupunguza maneno.
Kuna wakati wa maisha yako utagundua umeanza kusema "Hapana" mara nyingi kuliko "Ndiyo". Si kwa ubishi. Si...
Kwema
Science na technology iliyopo Sasa Duniani inaweza kupata muonekano wa sura za watu mbali mbali za kale
Tumesikia mchakato wa mfanano wa sura ya yesu ulivyopatikana mpaka kupata michoro...
Samia amesema kuwa baadhi ya Mataifa makubwa duniani hayafurahishwi na kasi ya maendeleo ya Nchi zinazoendelea, huku wakiwalaghai Vijana kuhujumu Mataifa yao.
Samia ameyasema hayo leo Julai 13...
Mimi ni kuhusu kutomuamini mlevi - maisha yamenifundisha kutomuamini mlevi kabisa, hasa akiongea wakati kalewa!
Pili, maisha yamenifundisha mafanikio yanakuhitaji wewe moja kwa moja bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.