Katika chumba cha mihadhara katika Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Dodoma nchini Tanzania, Tausi Iddi Nzimano, anayejulikana kwa jina lake la Kichina kama Lin Shi, hubadilisha kati ya lugha...
Kumbuka wakatoriki fake na pres zao na vijora vyao na misimamo yao alafu watazame chadema wa bei chee na mbinu zao,misimamo yao na pres zao utagundua muongozaji na mtunga stor ni mtu mmoja kasoro...
Huwa nasema hakuna watu wanafiki kama masheikh, hakuna watu wanaofanya maovu kwa kujificha kama masheikh,Hawa ndio wazinzi wakubwa,wavuta Sigara na watukanaji WAKUBWA .
ila ndio wakwanza...
• Kuna tetesi walioshindwa kupanda vyeo kwa sababu ya mfumo kwenda kwa katibu mkuu TAMISEMI, ushauri wangu kabla hujanyenyua mguu wako omba rusuhusa kwanza kwa mkurungenzi wako maana kama...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limebaini kuwa huduma ya umeme katika Jengo la Kituo cha Mabasi cha Mwenge inaendelea kuwa ya uhakika baada ya kufanya ukaguzi wa miundombinu kufuatia taarifa...
Katika siku iliyojawa na hamasa, mamia ya vijana wa Kitanzania walimiminika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika mji wa kibiashara wa Tanzania. Walikusanyika kwa ajili ya Maonesho ya tano ya...
Tunaosoma maandiko wenyewe bila kusomewa na wachungaji ni wazi kuwa halikuwa kusudi la Mungu kumuumba mwanamke(Eva)
Huenda Mungu angelitupatia njia nyingine ya kuzaliana nje na kumtumia mwanamke...
Kumsaidia muafrika ni ngumu sana kuwa wewe ni mjinga.
Kwenye kipindi cha madini dotcom cha mtangazi East africa redio sikosei.
Kuna makala aliweka kuhusu congo kutawaliwa na mtu ambaye hakufika...
Tunaosoma maandiko wenyewe bila kusomewa na wachungaji ni wazi kuwa halikuwa kusudi la Mungu kumuumba mwanamke(Eva)
Huenda Mungu angelitupatia njia nyingine ya kuzaliana nje na kumtumia mwanamke...
Katika kitu kilicho niumiza ni ile pesa ya kupeleka wasanii na wakaenda kujigamba ndio maana chawa wamekuwa wengi.
Sisi tunaosafiri au waliosafiri hata mtu hapa JF ukisema kumpeleka nje ya mkoa...
Ndugu zangu, mimi nakabiliana na changamoto kubwa ya maisha yangu, ambayo sijawahi kuhisi kama ipo siku itanifikia. Ni kama nimechanganyikiwa, na ukweli nimechanganyikiwa. Najiona kabisa akili...
Kumbuka wale wakatoriki wa vijora mwenendo wa movie yao kisha angalia hawa chadema wenye vita na heche utaona upayukaji wao na wenge lao linafanana na wale wakatoriki wa vijora
Balozi wa Tanzania nchini China, Dk Suleiman Haji Suleiman amesema dawa za kulevya zinaendelea kuwagharimu Watanzania wanaokwenda China, akieleza kuwa baadhi yao wamehukumiwa vifungo vya miongo...
Hizi ni baadhi ya kumbi za dansi na starehe miaka ya 80s na mwanzoni mwa miaka ya 90s jijini Dar
1.Wapi wapi's - Chang'ombe
2. Mundo bar - Temeke
3. Dimax bar - Tandika
4. Mango bar - Tandika...
Mnafaili mengi naye ila mnapompeleka kuna siku wana anawauza tena anawauza kwa kupenda sifa.
Siku zake zinakaribia sio kwenye kutetea CCM na utawala wake ila hapo hapo mwambie hisa tambuu anaweza...
Actually sio wasukuma, makabila mengi sana wamechukulia sherehe/ndoa ni sehemu ya kupiga pesa za wanamichango.
Ni nadra sana kuona harusi za mwanaume anayefunga ndoa, wazazi wake wanawapa zawadi...
Kuna watu wanatembelea JF ilikusoma threads za watu wengine na kazi yao ni kutoa likes, laughs, dislikes, fire etc peke yake, Nadhami mnatambua JF wametengeneza system kwa namna mbayo thread...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.