Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

SOMA MPAKA MWISHO Bila shaka mpo salama WanaJF. Unaweza kuwa ni miongoni mwa wanaomiliki hoteli, guest/lodge. Ninawaletea mfumo wa kuendesha hiyo biashara yako. Huu mfumo ni SaaS (multi hotel...
1 Reactions
10 Replies
206 Views
Dini ni moja ya taasisi kubwa zaidi katika historia ya binadamu, na mara nyingi imechukuliwa kama biashara yenye mafanikio makubwa. Dini hutumia imani ya watu kama bidhaa isiyoonekana. Bidhaa...
4 Reactions
2 Replies
90 Views
Anonymous
Maombi ya hati kupitia mfumo wa e-Ardhi kwa wakazi wa Dodoma bado yanaendelea kuwa changamoto kubwa. Mtumiaji anaweza kufanikiwa kutuma maombi kwenye mfumo, lakini maombi hayo hukaa muda mrefu...
2 Reactions
5 Replies
212 Views
Hakika haya Maisha Hayana Huruma Kwa Sisi wanaume ndio mana tunatakiwa tuyatafute popote pale pale sababu bila huu mchezo wa Hela ya Dunia ya leo tunakuwa sio lolote Kwa jamii. Tunaonekana...
14 Reactions
33 Replies
579 Views
Wote tunajua ile sio hali ya kawaida kwa watu wengi wa hali ya kati na chini hapa Tanzania. Ni watu wa hache sana wenye uwezo ule wa kuchezea pesa. Actually, maisha yako tight sana huku kitaa...
6 Reactions
26 Replies
641 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila, amewakata wamiliki na wafanyabiashara wa Baa kufanyabiashara zao kwa mujibu wa sheria na taratibu za Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa...
5 Reactions
32 Replies
557 Views
Dotto magari ni sumu ambayo imeshawaingia wazazi na vijana ambao nao mbeleni kwa hali iliyopo sasa ya ziaka kuwa wasomi hawana mafanikio ni hatari. Hatari ni kama wasomi wanamaliza ni wengi...
1 Reactions
2 Replies
97 Views
Katika jamii nyingi, miujiza feki inayodaiwa na manabii na mitume imekuwa ikichukua nafasi ya ahadi ambazo zilipaswa kutimizwa na wanasiasa. Kwa kawaida, mwanasiasa ndiye anayewajibika...
1 Reactions
4 Replies
103 Views
Wakuu habari ya majukumu! Leo katika harakati zangu nimepata bahati ya kusikiliza nyimbo mbali mbali za enzi hizo maarufu kama zilipendwa. Kwanza nilianza na kibao cha Amigo chao les...
3 Reactions
2 Replies
95 Views
Msemaji wa serikali baada ya kuona kama kawa kituko kwenye jamii. Kaamua kuruhusu Mwaipopo kuwa badala ya ili wasionekana kuwa wanafikisha maelezo yao. Ukifatilia kwa umakini matamshi anayoongea...
0 Reactions
3 Replies
128 Views
Microsoft imetoa kozi kamili ya kujifunza Akili Bandia (AI) bila malipo kupitia GitHub, ikiwa ni fursa kubwa kwa wanafunzi, watengenezaji wa programu na mtu yeyote anayependa teknolojia kujifunza...
2 Reactions
3 Replies
173 Views
Tusaidiane maana hili neno limetrend sana humu
7 Reactions
89 Replies
1K Views
Mbunge wa Gairo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), mheshimiwa Ahmed Shabiby amesema anaweza kuwataja vigogo wanaokwamisha viwanda vya dawa za binadamu kujengwa Tanzania huku akiwaita ni...
0 Reactions
1 Replies
139 Views
Kwanini watu washukie na kupakia Kange wakati 98% ya watu wanakaa mjini Tanga na viunga vyake excluding Kange? Ridiculous kuwa gari liko barabara say ya 14. Analiacha anapanda basi dogo kwenda...
1 Reactions
14 Replies
226 Views
Kuhusu hoja ya Mdau aliyezungumzia Dar: Jengo la Stendi ya Mwenge linakosa umeme mara kwa mara, inasemekana lina deni ufafanuzi umetolewa kutoka upande wa TANESCO. Asante kwa kutufahamisha kuhusu...
1 Reactions
0 Replies
264 Views
Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC) na Chama cha Kamati za Olimpiki Afrika (ANOCA) zimemtambua rasmi Anthony Mtaka kuwa Rais mpya wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), baada ya uchaguzi...
4 Reactions
32 Replies
942 Views
Back
Top Bottom