Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii hipo dunia nzima kila jambo.Kuna maeneo mfano dar es salaam pale kigamboni na n.k au mmbwemi ilikuwa ngumu mtu kununua zaidi kuzidi chini ya laki tisa na zaidi kipindi cha zamani. Leo...
3 Reactions
18 Replies
320 Views
Ninaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto kubwa ya huduma ya kupiga na kupokea simu (voice calls) kwenye mtandao wa Vodacom Tanzania katika eneo la Tarime, Mkoa wa Mara. Kwa muda sasa...
2 Reactions
1 Replies
127 Views
message nzuri ila ina a lot engineering error , iko shallow marketing but in engineering sense it is chaos hakuna good logic flow...
1 Reactions
1 Replies
90 Views
hii ni kelele , weka hata bei, location https://www.jamiiforums.com/threads/fast-food-kwa-wafanyakazi-wa-maofisini-dar-es-salaam-karibuni-sana.2453387/ jamii forum inapoteza pesa kijinga title...
1 Reactions
2 Replies
72 Views
Hapo zamani za kale palikuwa na kijiji kimoja kizuri sanaa. Kijiji hicho kilikuwa na vitu vizuri kama dhahabu, gesi, maji safi na na mali nyingi msituni. Basi kiongozi mmoja mzalendo akapewa kazi...
5 Reactions
8 Replies
144 Views
Anonymous
Mimi ni mfanyabiashara wa simu na vifaa vyake katika maeneo ya Machinga na Karume, Dar es Salaam, Tarehe 25 Juni 2026, siku ya Alhamisi, mgambo wa Jiji walifika ghafla katika maduka yetu na...
0 Reactions
5 Replies
347 Views
Paternus Niyegira Mchambuzi wa Masuala ya Siasa na Uongozi amesema kauli za baadhi ya viongozi wa serikali zinakosa utashi na staha katika uwasilishaji wa hoja zao kwa wananchi. Akizungumza...
3 Reactions
4 Replies
184 Views
Anonymous
Hapa ni kwa Kituo cha Daladala cha "Kwa Yusuph" kilichopo Mbezi (Morogoro Road) kwa sasa kimegeuka kuwa stendi ya magari makubwa (malori) yanayosimama kwa ajili ya kupakia abiria pamoja na gari...
0 Reactions
1 Replies
160 Views
Wakuu saizi songea kumenoga, dereva ukikosa kazi, basi wewe si dereva Kuna nafasi za kazi kwenye mrad wa apz unaitaji madereva 3000 gari ni shacman 380,f3000 gear12, Kazi ni mchana na usiku...
0 Reactions
2 Replies
80 Views
Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya dola milioni 1 za Kimarekani, sawa na takribani shilingi bilioni 2.63 za Tanzania, kusaidia kuimarisha maandalizi na utayari wa Tanzania katika kukabiliana na...
3 Reactions
7 Replies
219 Views
Mungu na shetani ni samehee maana nchi niliyopo nashindwa kuelewa. Baada ya raisi trump kukataa ndege yake na kupewa ile ndenge na qatar kaona kurudia yake ya zamani. Tuje kwenye mada kuhusu...
1 Reactions
4 Replies
134 Views
Tanzania ni yetu, hakuna mtu kutoka nje atakuja kuijenga tanzania tunayoitaka bali ni sisi wenyewe. Hayari patrce lumumba wa DRC Congo aliwahi kusema "...bila haki hakuna uhuru, na bila uhuru...
0 Reactions
0 Replies
43 Views
Mnamo tarehe 12 nilifanya malipo ya kuhuisha (renew) leseni yangu ya taaluma ili niweze kuendelea kufanya kazi kisheria kupitia mfumo mpya. Nilitengeneza Control Number kupitia mfumo huo na...
2 Reactions
2 Replies
151 Views
The alleged head of a fake agency linked to Nigeria’s presidency has been arrested after weeks in hiding. He is accused of using forged documents to establish the agency, open bank accounts and...
0 Reactions
1 Replies
100 Views
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni BRELA leo tarehe 13 Julai, 2026 imetunukiwa tuzo ya kuwa Taasisi Bora kwa kuwezesha biashara kwenye Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam...
0 Reactions
6 Replies
150 Views
Masikini wengi wakiwaongelea vibaya matajiri uwa wanapata auheni ya kisaikolojia hii ni ngumu kumeza ndio maana weng waliofanikiwa wanaongozwa kusemwa vibaya sana
3 Reactions
6 Replies
130 Views
Nimeamua kuanzisha uzi huu baada ya kufikiria muda mrefu nikijiuriza je kua masikini ni uvivu au ni mambo ya kiroho? Je "kuwa tajiri ni upambanaji au ni mambo ya kiroho maana kuna matajiri...
8 Reactions
38 Replies
540 Views
Kuna mambo mengine sio kila kitu wafahamu maana vyengine watanzania wanaona ni kama wao bado wapo kwenye zama za nyani walivyo aminishwa na CCM kwa karne hii. Server zangu nyumbani kwenye mfumo...
0 Reactions
0 Replies
63 Views
Kufuatia suala la sheikh Walid km kawaida yao wamekurupuka km wanavyokurupuka kwenye muandamo wa mwezi Huenda ni maelekezo kutoka juu ila suala la siasa life nguvu kwa muda Haya Allah tabaraka...
0 Reactions
2 Replies
110 Views
[Luk4:1]Na Yesu, hali amejaa Roho Mtakatifu, alirudi kutoka Yordani, akaongozwa na Roho muda wa siku arobaini nyikani [Mat4:8]Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki...
2 Reactions
9 Replies
164 Views
Back
Top Bottom