Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

‎humu mitandaoni nimepata mafanikio mengi na leo nitaanza na machache na pia nitaanza na ya humu Jamiiforums, ‎ ‎nimejiunga JF mwezi huu march 2026, lakini katika uzi wangu tu wa kwanza wa kusema...
3 Reactions
19 Replies
343 Views
MIFUMO YA KIDIJITI YA KIJIOGRAFIA KUIMARISHA USIMAMIZI WA ARDHI NCHINI Dodoma Tanzania inaendelea kufanya mageuzi makubwa katika sekta ya ardhi kwa kuimarisha mifumo ya kidijiti na matumizi ya...
1 Reactions
3 Replies
93 Views
Baada ya kuishi mtwara kuna mambo nimejifunza nikiwa huku ambayo yamenifanya niseme dar kuna watu wanafiki sana.......... 1.mtwara boda boda ni buku popote uendapo atakuchaji buku na ndio boda...
16 Reactions
96 Replies
16K Views
ujumbe umejificha kwa kelele nyingi hakuna flow nzuri , mtu rahisi sahau kwa ajili ya kelele Acha kuuza mchanganyiko unapoteza muda, akili na Pesa zako, shtuka post ni ndefu balaaaaa
0 Reactions
0 Replies
66 Views
Habari Wakuu. Natoa ushauri kwa Mamlaka kama Rita na nyinginezo pamoja na Watanzania kwa ujumla. Kumekuwepo na idadi kubwa ya watoto au watu wazima ambao katika majina yote matatu hakuna hata...
6 Reactions
13 Replies
271 Views
MUNGU AMESAHAU DHAMBI ZETU!!! "A KINGDOM FORGIVENESS STANDARD: A PRAGMATIC APPROACH" Amani na Salama 🙏🙏🙏 Ninayo FURAHA na ujasiri mkubwa kukupasha habari hii njema Sana! "Mungu AMESAHAU DHAMBI...
0 Reactions
5 Replies
151 Views
ni kweli inatokea sababu bank haina engineering people wanaweza detect wizi ukitokea. CRDB iko overloaded sana , staff wako na massive client ku handle na wako na burn out kubwa sana . miundo...
1 Reactions
0 Replies
66 Views
Wafanyakazi wa makampuni ya ki bongo wanakera sana , inapotokea umefanya kz na kampuni yao wakijua kuna malipo mazuri utapokea , unakutaka mtu anajitokeza Mkuu utaniachaje. Ukichomoa wanakufanyia...
3 Reactions
25 Replies
324 Views
  • Redirect
jamii forum 100% ime ajiri watu wa support ambao wako shalloow user experience iko very bad one hat katika engineering logic issue . ndoo tatizo kubwa hapa tanzania na dunia nzima .design ya sasa...
1 Reactions
– Replies
– Views
Video ambayo imechapishwa mtandaoni ikiwaonesha baadhi ya watu wakisafiri kwa kutumia mtumbwi hali ilyozua mkanganyiko na hatari iliyopo. Katika video hiyo watumiji wengi wa mitandao wameshindwa...
0 Reactions
1 Replies
70 Views
  • Redirect
acha SUMBUA watu umejenga nyumba halafu mlango wa ingia kwako haupo au hauonekani ili hata nyumba yako ikiwa na shida watu waje saidia . tatizo sio mpinzani kwanza acha piga kelele toa taarifa...
0 Reactions
– Replies
– Views
Mchambuzi wa Masuala ya Siasa na Uongozi, Paternus Niyegira, akizungumza katika mahojiano na Crown Media mnamo Julai 14, 2026, amesema kuwa hakukuwa na haja Msemaji Mkuu wa Serikali kutoa tamko...
2 Reactions
6 Replies
190 Views
Mwaka jana mwezi March, kabla ya utaratibu mpya wa kuomba Visa kwenye ubalozi wa China hapo jijini Dar es Salaam. Nikiwa nimeshajaza fomu zangu na nikiwa nimeshapewa notification ya appointment...
5 Reactions
14 Replies
409 Views
Katika historia ya dini na imani, kumekuwa na madai mengi kuhusu uwepo na kazi ya Roho Mtakatifu. Watu wengi hutumia jina hili kama chombo cha kuhalalisha matendo yao au kuwadanganya wengine...
0 Reactions
2 Replies
105 Views
Pan-African reinsurer ZEP-RE (PTA Reinsurance Company) and development agency FSD Africa have partnered to accelerate the growth of African insurance technology (insurtech) startups through the...
0 Reactions
0 Replies
192 Views
Wakitoka south afrika kufukuza waafrika naona wazungu wataanza na hii operation ya imani. Kama dini imewapenda sana kwa nini mnakimbilia nchi ambazo sio dini yenu.
4 Reactions
53 Replies
647 Views
SOMA MPAKA MWISHO Bila shaka mpo salama WanaJF. Unaweza kuwa ni miongoni mwa wanaomiliki hoteli, guest/lodge. Ninawaletea mfumo wa kuendesha hiyo biashara yako. Huu mfumo ni SaaS (multi hotel...
1 Reactions
10 Replies
206 Views
Dini ni moja ya taasisi kubwa zaidi katika historia ya binadamu, na mara nyingi imechukuliwa kama biashara yenye mafanikio makubwa. Dini hutumia imani ya watu kama bidhaa isiyoonekana. Bidhaa...
4 Reactions
2 Replies
90 Views
Back
Top Bottom