Kuna watu wanahisi jf haiko addictive.
Lahaula, hata hii ni social media platform kwa kivuli cha forum
Nahisi sasa ni muda wangu kutoka, for some time... I need to recharge.
My team si out🇵🇹, I...
Awali ilisemekana sheikh WALIDI, huenda angeswalia MSIKITI WA KICHANGANI nakutoa mawili matatu, Kwa waumini, lakini hakutokea MSIKITINI.
POLISI walionekana kitanda maeneo hayo ambapo inasemekana...
Napendekeza apewe cheo Cha juu zaidi (Nakinzana na nyote mnaong'ang'ania arudishwe kwenye cheo chake)
Kwa nini ?
Utendaji wake kiufanisi utashuka kiwango chini ya wastani (35%) kutokana na...
Kutoka kwa dada Mariam Mbano
______
Kumekuwepo na wimbi kubwa la watu ambao wanatumia matatizo ya wengine kuwadhalilisha, kuwatapeli ama kuwafanyia unyanyasaji. Huyu binti anaitwa Josephine David...
Kuna tabia ambayo imeanza kuota mizizi kwa baadhi ya mawakala wa usajili wa line za simu nchini, na ni wakati sasa wa kuikemea kwa nguvu zote.
Kinachofanywa na baadhi yao sio huduma kwa mteja...
Shangwe na makofi vilitawala ukumbi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, pale jina la Balozi Liberata Mulamula lilipotajwa kupokea Tuzo ya Uongozi Bora wa...
Kuna nchi unatakiwa kuwa makini na kuanzia mazoea,msosi, vinywaji mpaka unapofikia na ili swala lipo.
Ila tanzania bado tujaweza sasa kuhusu na maswala ya biashara ya viungo kama figo maana ndio...
Mi ni mmoja wa wananchi tuliotekeleza maelekezo ya National Identification Authority (NIDA) ya kurudisha vitambulisho vya Taifa vilivyokuwa na tatizo la kufutika kwa majina au namba ili...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Julai 17, 2026 amekagua na kupokea taarifa ya maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yanayotarajiwa kufanyika Julai 25, 2026 katika Viwanja vya...
Madhara ya unywaji wa pombe:
Uharibifu wa ini (fatty liver, hepatitis, cirrhosis)
Saratani ya ini, koo, umio, matiti, na sehemu nyingine za mwili
Magonjwa ya moyo na shinikizo la damu
Uharibifu...
Mfundishe mwanao na umjengee msingi imara wa elimu kupitia Elite Home Tuition Services.
Tunatoa huduma ya home tuition na online tuition kwa wanafunzi wa level zote, kuanzia chekechea hadi chuo...
Serikali ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe imepokea baiskeli 279 kutoka kwa mdau wa maendeleo wa kampuni ya Buffalo Bicycles Tanzania kwa ajili ya kusaidia kuboresha utoaji wa huduma za afya ngazi...
MAMBO MUHIMU KWAKO MWANAMKE; ELIMU +KAZI KISHA FAMILIA(MUME MWENYE AKILI ZA TIBELI)
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Baada ya afya bora. Kinachofuata kwenye maisha yako kwa umuhimu na lazima...
Huyu jamaa alikuwa mnyama kabisa.
What he did was destroy a soul of a 15 yrs old young boy.
Imagine unampa mtoto mdogo Lamborghini na bado hapo hapo unakeshesha kwenye party za kishenzi aone...
Raia wa Tanzania wapinga ushoga na wabunge wao kwa nini wananyamazia Diamond kuwa karibu na vijana wanaotuhumiwa kuwa ushoga.
Nimeona clips zikisimbaa katika birthday ya mama yake vijana wawili...
Yanafanyaje kazi?
Watu wanaweka pesa/beti kwenye matokeo ya matukio ya baadaye.
Mfano:
Matokeo ya mechi za mpira
Matokeo ya uchaguzi
Idadi ya tweets Elon Musk atatoa kwa wiki
Shida ilipo sasa...
Ikiwa Imamu amegundulika ni mzinifu au mwenye tabia nyingine mbaga kama za kutishia kudhuru watu au kutelekeza watoto je swala na sadaka za wale waumini anaowaongoza katika swala na ibada haziwi...
Ukisoma story ya ENKI na ENLIL unaweza kupata picha ya ninacho kisema hapa. Huenda hii Ikawa ndio sababu halisi kwanini shetani alimuhasi Mungu... Shetani hakupendezwa na mpango wa Mungu kumuumba...