FTA channels zimerudishwa buree

FTA channels zimerudishwa buree

Nakfa

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
12,176
Reaction score
16,586
Bakema na bagosha waziri mwakyembe alisema kuwa wanaondoa FTA channels kwa lengo la kulipeleka hilo swala bunge la mfalme ndugai
NASHANGAA MPAKA SASA NINI LENGO LAO MAANA TBC IPO KWA HEWA NA HAINA HABARI WALA VIPINDI VYA MVUTO DK MBILI MBELE NI LIVE SERVICE ZA CHAMA CHA MAKUSHI

Wakulu mwakyembe anahitaji contraceptive
 
Haya ndo madhara ya kuwadharau walimu......
 
Kuna mada ya muhimu sana katika huu mkorogo wake lakini uwasilishaji wako ndio umeifanya mada yako iwe kama uharo tu.

Ina maana gani heading iseme zimerudishwa halafu kwenye content unaongelea kwanini hazipo.

yaani sijui umelewa?
 
MKU KM HUELEWI DHAMIRA ILIKUWA NI KUZIMA LOCAL CHANEL SI KUSAIDIA RAIA WAPATE BURE LOCAL CHANEL.MAANA AMNA HATA HATUA INAYOCHUKULIWA KWA WALIOGOMA.
 
Bakema na bagosha waziri mwakyembe alisema kuwa wanaondoa FTA channels kwa lengo la kulipeleka hilo swala bunge la mfalme ndugai
NASHANGAA MPAKA SASA NINI LENGO LAO MAANA TBC IPO KWA HEWA NA HAINA HABARI WALA VIPINDI VYA MVUTO DK MBILI MBELE NI LIVE SERVICE ZA CHAMA CHA MAKUSHI

Wakulu mwakyembe anahitaji contraceptive
Hukuelewa kaka.
 
Lazima utakuwa ni muimba taarab wewe
 
Back
Top Bottom