Ajali: Basi la Kampuni ya Simanjiro Express lapinduka maeneo ya Landanai

Ajali: Basi la Kampuni ya Simanjiro Express lapinduka maeneo ya Landanai

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,277
Basi la kampuni ya Simanjiro Express linalofanya safari zake kati ya Arusha kwenda Simanjiro limepata ajali ya kupinduka asubuhi ya leo katika maeneo ya kijiji cha Landanai.

Kwa taarifa za awali hakuna vifo isipokuwa kuna abiria kadhaa wamejeruhiwa na wamekimbizwa katika hospitali ya wilaya ya Simanjiro.
IMG_20180917_124729_422.jpg
 
Basi la kampuni ya Simanjiro Express linalofanya safari zake kati ya Arusha kwenda Simanjiro limepata ajali ya kupinduka asubuhi ya leo katika maeneo ya kijiji cha Landanai.

Kwa taarifa za awali hakuna vifo isipokuwa kuna abiria kadhaa wamejeruhiwa na wamekimbizwa katika hospitali ya wilaya ya Simanjiro.View attachment 868822

Suala la kujiuliza hili basi limepindukaje hapa? Barabara imenyooka, haionyeshi tatizo, hakuna mteremko mkali wala kona kali, na haiwezekani kuwa tairi ilipasuka maana basi ingeingia porini au kwenye korongo.

Ajali nyingine bwana unashindwa hata kuelewa. Maana unaweza kudhani wamelipindua makusudi kwa kulisukuma. Hebu angalieni kama wana bima kubwa isije ikawa utapeli. Basi inapinduka utadhani mlevi kasukumwa!
 
Back
Top Bottom