Hakuna upendo hapa duniani zaidi ya upendo wa mama kwa mtoto,hakuna cha baba wala nini

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,963
Wakuu,leo nmeenda home ,kwa wazaz kabsa...bi mkubwa kanipikia misos kanipakia kwenye hot pots nasepa navyo home hapa .hahahaha..

Juz nilikuja na uzi wa hal yangu mbaya ya ubachela jins inavyoni cost

Nkaamua niende leo nkamsalimie bimkubwa ,

Nme enjoy kwakwel,..hii misos ni ya wik mzima.ni mwendo wa kupasha tuu

Ni hayo...story of my daily life
 
kwa hiyo hata Bi mkubwa hampendi baba yako mzee baba?
 
Ndo mtuheshimu wakati mwingine tunakubali kuitwa majina yote kwa sababu tu sisi ni single moms ila hatukuthubutu kutoa mimba zenu sababu tunawapenda sana japo tulijua tutasimangwa mkishakuja duniani
Umenigusa sana umeongea kihisia sana.
 
Ndo mtuheshimu wakati mwingine tunakubali kuitwa majina yote kwa sababu tu sisi ni single moms ila hatukuthubutu kutoa mimba zenu sababu tunawapenda sana japo tulijua tutasimangwa mkishakuja duniani
Dah,nikwel,...wanaume tunajitoaga ufaham tuu,ila wanawake ni viumbe muhim kuliko kiumbe chochote,na wanatupenda kwa upendo wa kwel kabsaaaaa,..tho ni kwa mama towards her child
 
Samahani,
Hivi kuwa single Mama kwa umri na elim kama yako hiyo mimba inakuwa ya bahati mbaya au ulitaka mwenyewe??
Iwe Bahati mbaya au kutaka bado haitakiwi kiumbe mwingine kubeza mama kisa ni single mom. As for me nilijua nitakua single mom but sikutoa ingawa nilikua na uwezo wa kufanya hivyo.
Kuna familia nyingi tu watoto wanazaliwa wakati baba akiwa hayuko tayari kuongeza mtoto mwingine. Mwanamke kama huyo anaweza akaachika kabisa lakini hawezi kutoa mtoto wake.
 
No,
Nilikuwa namanisha siku ya kusex unakuwa hujui hii siku ni ya hatar ninaweza pata ujauzito?
Je nikipata ujauzito huyu mzee baba kwa jinsi navyo muona atanioa au kulea hiki kiumbe?

Je nipo tayari kubeba ujauzito kipindi hiki??

Zamani nilikuwa nawadharau single mom, lkn kwa sasa kidogo akili zimepevuka. Ila hayo ndo maswali ambayo najiulizaa.

Mimi kuna dem wangu tulikuwa tunasex mpk siku ya hatar lkn baada ya hapo within 24hrs kuna vidonge vyake anameza kuzuia mimba ikitokea nimemwaga ndani though ilikuwa yatokea mara chache
 
Nikweri lakini tusikalili kwamfano kuna mama mmoja alimuuwa mwanae kwa sumu na kumzika chini ya kitanda chake cha kulala, tangu 2016 kesi imegundulika 2018 kwaiyo kuna mama wazuri na mama wabaya na kwa baba vivyo hivyo!
1 in a milion does that kiongoz
 
Kuna misos adim,yaan kuna zile touch ambazo ni mama tuu hua anaweza,hata ukiwa uji,yaan uji wake unakua na touch yake,....
Halafu hawaandai kwa kulipua lipua. Huwa nikienda home naambiwa kuna watu ndio maana hawaoi kwa sababu ya misosi pendwa ya home
 
Ndo mtuheshimu wakati mwingine tunakubali kuitwa majina yote kwa sababu tu sisi ni single moms ila hatukuthubutu kutoa mimba zenu sababu tunawapenda sana japo tulijua tutasimangwa mkishakuja duniani
Well said sis!!
 
Upendo hujengwa na matendo!!....

Kuzaa pekee hakuunganishi upendo wa mama na mtoto bali matendo ya mzazi dhidi ya mtoto!!!

Kuna watu hawataki hata kuwasikia mama japo kuwa ndio waliozaa kwa sababu ya matendo yao juu yao!!!....

Ulezi na mahangaiko ya ulezi ndio vinavyojenga misingi imara ya upendo baina ya mzazi....kuzaa ni jambo lingine na kulea ni jambo lingine!!!!....
 
1 in a milion brotha,...ila sis wanaume tunaongoza kuwakataa watoto kiongoz,bisha hili,..
 
Back
Top Bottom