Mbwa kichaa azua kizaa zaa Dodoma mtaa wa Njedengwa, awahangaisha polisi wenye silaha na wananchi

Kibishi

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
1,129
983
Leo tarehe 22 mwezi wa 5, mbwa mwenye kichaa wa mtaa wa Njedengwa ameng'ata watoto kadhaa, baada ya raia kushindwa kumuua tukapiga simu polisi kuja kusaidia kumuua mbwa huyu, polisi wamekuja na SMG kwa ajili ya kumuua, wamemlenga kwa risasi zaidi ya 10 hapa na hapa lakini hawajampata.
 
Raia wamesumbuana naye tangu saa 5 za asubuhi, mpaka sasa saa 7 za mchana bado tu wanahangaika naye.
 
Haina haja ya kulenga, wangepiga juu tu ingekata kona ikampate. Mbona kinondoni hawakulenga lakini ilimpata mtu?
Sehemu kama hizi za kurusharusha risasi siyo nzuri za kujichanganya, inaweza ikamkosa mbwa ikakupata, unajichumia majanga yasiyokuhusu, raia wengi wanamkimbiza kiwogawoga kwa kuhofia hilo.
 
Leo tarehe 22 mwezi wa 5, mbwa mwenye kichaa wa mtaa wa Njedengwa ameng'ata watoto kadhaa, baada ya raia kushindwa kumuua tukapiga simu polisi kuja kusaidia kumuua mbwa huyu, polisi wamekuja na SMG kwa ajili ya kumuua, wamemlenga kwa risasi zaidi ya 10 hapa na hapa lakini hawajampata.
Hizo risasi zingekuwa zinalengwa kwa Lissu wangelenga kwa ufanisi zaidi.
 
Leo tarehe 22 mwezi wa 5, mbwa mwenye kichaa wa mtaa wa Njedengwa ameng'ata watoto kadhaa, baada ya raia kushindwa kumuua tukapiga simu polisi kuja kusaidia kumuua mbwa huyu, polisi wamekuja na SMG kwa ajili ya kumuua, wamemlenga kwa risasi zaidi ya 10 hapa na hapa lakini hawajampata.
Huyo mbwa ni wa Demiss & Mshana Jr, ndio Lamborghini lao new model
 
Mkuu huku koromije saiv bado saa sita. Kumbe dom mnatuzidi dakika na masaa
Kama huko Koromije ni saa 6 za mchana kweli. Basi huo mji ni wa kichawi au wa kuzimu, ni kweusi tu muda wote.
 
Back
Top Bottom