Polisi

Polisi

kunze

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Posts
400
Reaction score
472
Jeshi la Polisi Dar,limekiri kumshikilia mtangazaji wa SHILAWADU,Soud Brown kwa uharibifu wa Mali.

Alionekana kwenye video akiwa na mwanamuziki mmoja wa kike wakirusha juu noti za Sh. 10,000 na kuzikanyaga.

Je,ndiyo makosa ya kimtandao?

Yajayo,yanatuhangaisha.
 
Jela hapapigwi Picha,kuchwa coca baridi
IMG_20180915_231256.jpeg
 
Nasikiaga ni kosa kuharibu pesa eti ni nyaraka za serekale kwahiyi hapo wanashtakiwa na lijamuhuri la muungano kwa kuchezeya serekale...
 
Nasikiaga ni kosa kuharibu pesa eti ni nyaraka za serekale kwahiyi hapo wanashtakiwa na lijamuhuri la muungano kwa kuchezeya serekale...
Mbona wana mambo mengi ya kufanya,kwani kurusha hela ulizozisotea na kamchepuko kako,kuna tatizo? Mbona wameshindwa kabisa kuzua vumbi huku kwetu??! Haya bhana,mm nishaanza kuhamia Botswana
 
Mbona wana mambo mengi ya kufanya,kwani kurusha hela ulizozisotea na kamchepuko kako,kuna tatizo? Mbona wameshindwa kabisa kuzua vumbi huku kwetu??! Haya bhana,mm nishaanza kuhamia Botswana
Hamia tu ila usichezee au kudharau hizo nyaraka za serekale
Unaruhusiwa kumiliki thamani ya pesa tu na sio pesa ambayo ni Mali halali ya serikali hivyo hata kuidunisha kwa namna yoyote ni kosa kisheria...
Imagine unakanyaga kichwa cha president wetu hiiiiiiiiiii utapata tabu sana.
 
Akiwaambia ni fedha bandia, wataendelea kumsumbua au ndio watasema kwa nini unamiliki pesa bandia.
 
Mbona wana mambo mengi ya kufanya,kwani kurusha hela ulizozisotea na kamchepuko kako,kuna tatizo? Mbona wameshindwa kabisa kuzua vumbi huku kwetu??! Haya bhana,mm nishaanza kuhamia Botswana
Kwani huko Botswana hakuna sheria na taratibu za nchi yao??????
 
Back
Top Bottom