Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

The Russian Orthodox Church has effectively cut diplomatic relations with the Patriarchate of Constantinople, which has authority over the world's 300 million Orthodox Christians. It follows...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Siku za hivi karibu kumetokea tukio la mauaji ya watoto wawili huko Nachingwea mkoani Mtwara Dotusi Isaya alitekeleza mauaji hayo kwa kuwaua watoto wawili na kumjeruhi Mariam Lucas aliyekuwa mke...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Hassan amedai aliondoka Tanzania bila support kutoka kwa Watanzania kwani hata kibali cha kwenda huko alikosa. “Katika vitu sitavisahau ni kwamba mimi nilisafiri hapa kama mfungwa, nilikosa...
29 Reactions
156 Replies
25K Views
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amewataka wakandarasi wote nchini wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini, kuwa na Yadi maalum za kuhifadhi vifaa katika maeneo wanakotekeleza miradi hiyo...
1 Reactions
1 Replies
679 Views
Watu wawili raia wakigeni wamenusurika kifo katika ajali ya ndege ndogo aina ya ACQUILLA-MICROLIGHT 912 iliyoanguka katika eneo la shule ya sekondari Chambo halmashauri ya Ushetu Kahama na...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wana Ukumbi, Leo nimekuja hapa barazani kufikisha kero yangu kwa benki ya NMB tawi la Mbalizi road MBEYA. Mwaka 2013 mwezi wa Nne (04) nilienda kwenye ofisi zao, kwa minajili ya kuomba...
0 Reactions
105 Replies
20K Views
Wana jamii, Kuna hawa watanganzaji wawili waliibuka sana kipindi kile -- nakumbuka at my school age nilipenda kwenda pale salentine inn -- mwenge siku za weekend lazima utamkuta monica mfumia...
1 Reactions
8 Replies
8K Views
Ni jamaa kutoka Uganda ameamua kujitia kitanzi baada ya kubet kwa hela za kampuni
3 Reactions
17 Replies
3K Views
JOHN WALTER-BABATI Kaya zaidi ya 30 katika eneo la Maramboi kijiji cha Vilima vitatu wilaya ya Babati zimeteketezwa kwa moto huku Wakina mama wakiwa na watoto wachanga na wengine wajawazito...
0 Reactions
1 Replies
911 Views
Flora Rutahakana, assistant director, remember, are only five members of director in WHO- TDR, F. Rutahakana was born in Kagera ,Tanzania, Her duties Responsible for relations with regional...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wakuu!! Nikiwa kama kijana mwenye fikra tata ambazo baadhi huweza kuzipokea vibaya kulingana na mfumo waliolelewa. Sitaogopa kusema ukweli bila kujali unamgusa nani. Wapo wengine wanadhani...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
UJENZI wa stendi mpya ya mabasi yaendayo ndani na nje ya nchi katika eneo la Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam unatarajiwa kuanza wakati wowote kuanzia sasa baada ya kumpata mkandarasi atakayejenga...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
  • Redirect
Tufanye majimbo yote ya uchaguzi madiwani na wabunge wote ni CCM, Alafu tufanye Hakuna tena hizi taasisi kama twaweza n.k maana juzi juzi wametengenezewa sheria ya kuwafunga mdomo Nani anapata...
0 Reactions
Replies
Views
KUCHELEWESHA/KUWAACHA ABIRIA UWANJANI HII NI BIASHARA MBOFU KABISAAA... TAFAKARINI CHUKUENI HATUA STAHIKI. Hii sio tabia nzuri kabisaa haiwekezani mubadilishe gia angani kirahisi hivii. Mmeleta...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Kama kawaida yangu GENTAMYCINE hupenda kufanyafanya ' tafiti ' zangu za Masuala ya Kijamii na kwa takribani wiki sasa ambayo inaisha leo nilikuwa katika zoezi moja ' Maalum ' la Kujua ni kwanini...
9 Reactions
25 Replies
4K Views
Ukahaba ni tendo la kufanya ngono nje ya ndoa au uhusiano unaokubalika katika jamii, tena na watu mbalimbali na kwa malipo. Watendaji wanaopokea malipo huitwa kahaba au malaya; washiriki wanaotoa...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
  • Redirect
Haya hapa matokeo ya uchaguzi MONDULI
1 Reactions
Replies
Views
Ndg zangu pamoja na mambo mengine kama wanadamu Hatuna budi kumtegemea Mungu kwa kila jambo Ni wiki nyingine tena tunaianza humo katikati kuna mengi yatajitokeza Hivyo ili tuwe salama tufanya...
0 Reactions
4 Replies
871 Views
  • Redirect
Mgombea ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Julius Kalanga ametangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi mdogo baada ya kupata kura 65,714 sawa na asilimia 95 ya kura zote. Akitangaza matokeo hayo...
0 Reactions
Replies
Views
Habari za muda huu wapendwa, Niende moja kwa moja kwa wapenzi wa kwenda sehemu za ufukweni kwa ajili ya kupumzika na hata kuoga hasa za jijini dar es salaam Kumekuwa na vijana wengi ambao...
21 Reactions
57 Replies
9K Views
Back
Top Bottom