Kila nafsi iliyoonja uhai lazima itafikwa na umauti. Sisi sote tutakufa. Hakuna mtu atakayeondoka hapa duniani akiwa hai.
Hii ni lazima na sio hitari. Sio mtoto sio mkubwa. Sio Kijana sio mzee...
Kwa namna yoyote ile huyu mtu hakuwa na nia njema. Jangwani kwa miaka kadhaa imefahamika kama mkondo wa bahari, sasa kwa mtu yeyote mwenye akili timamu ama mwenye nia njema asingeleta ushauri duni...
Nimekuwa na kawaida ya kuingia chimbo la mtandaoni kupitia AI kusaka au kufanya window shopping ya bidhaa mbalimbali kabla ya kuingia madukani kichwakichwa.
Niseme tu akili mnembe a.k.y AI ni...
Jmoss tulivu imewadia, nimepoa kwa shem hapa... Ila Kuna issue nataka tuongee wanabodi.
Kwanza kabisa jana Nimetoa bandiko lenye ukakasi kuhusu watu wasio na ndinga(wanao panda daladala) . Ila...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limemkamata Hosamu Hamza kwa tuhuma ya kumuua baba yake mzazi Hamza Juma Omari pamoja na baba yake mdogo Ally Juma Omari kwa kisu.
Taarifa iliyotolewa...
Wakuu,
Kuna mtu tunaishi ila ana tabia za wizi wizi.
Yaani kiufupi huyu mtu yeye bila kuiba asubuhi, mchana au usiku hajisikii kabisa furaha.
Yeye kitu pekee kinachompa furaha ni kuiba na...
Yaani unatumia fedha za walipakodi kumfurahisha mtu ambaye kesho atatoka madarakani.
Hebu fikiria kuisaidia shule ambayo vizazi na vizazi vinasema, hospital ambayo wananchi watatibiwa...
Ndani sintofahamu na mivutano ya kiutendaji imekuwa mingi katika Hifadhi ya Wanyamapori Uyumbu ambayo inasimamiwa na Jumuiya ya Uhifadhi wa Wanyamapori ya Uyumbu (WMA) Wilayani Urambo, Tabora...
Leo ni siku nyingine ya mapambano, na unahitaji kila tone la nishati (energy) na utulivu wa akili ili kufanikisha mipango yako. Lakini kumbuka, watu unaoruhusu wasogee karibu yako wanaweza kukupa...
Nimekuwa nikikumbana na changamoto kubwa katika usafiri wa Costa (mini bus) kati ya Masasi na Tunduru, umbali wa takribani kilomita 195.
Badala ya kutoa huduma ya safari ya masafa marefu, Costa...
1 Timotheo 2:9.
Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; SI KWA KUSUKA NYWELE, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani...
Sala zetu zinahitajika, nasikia kuna Wabongo wengi sana hapo Arabuni.
Huyu Iran anafanya mambo ya ajabu sana hapo mashariki ya kati.
Tuwaombee ndugu zetu.
Katika kijiji kimoja kaskazini mwa Nigeria, mwanamke aliyeitwa Suzanne alikumbana na jaribu kubwa la imani yake. Wakati wanamgambo wenye silaha waliposhambulia kijiji chao, walimpa chaguo gumu...
Ushawahi kuona mtoto mdogo wa miaka mitano, lakini akiongea, pointi anazotoa ni za mtu mzima wa miaka 60? wakati hata shule hajaanza?
Hawa ndio wale watu wanasema roho zao zilishawahi kuishi...
Barua ya wazi kwa Sheikh Walid
Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh,
Sheikh Walid, kwanza napenda kukufikishia pole zangu za dhati kwa mitihani na changamoto ambazo umekutana nazo...
Katika siasa za kidunia haya maneno ni kawaida kuyasikia,hata hapa kwetu ambako uwezo wa watu waliopo kwenye nafasi za kuongoza ni mdogo kuliko wanaotakiwa kuongozwa,kifupi wanaoongoza hawawezi...
Mwanamume mwenye umri wa miaka 56 nchini Italia anakabiliwa na tuhuma za kufanya udanganyifu wa kipekee baada ya kudaiwa kujifanya kuwa mama yake aliyefariki kwa takribani miaka mitatu ili...