Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Meli ya MV LIEMBA, inayotoa huduma ya usafirishaji wa abiria na mizigo katika Ziwa Tanganyika, inatarajiwa kurejea katika huduma hivi karibuni baada ya kukamilika kwa ukarabati mkubwa ulioanza...
2 Reactions
6 Replies
148 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) kuhusu Afya, jijini Accra, Ghana tarehe...
0 Reactions
2 Replies
86 Views
  • Redirect
Bwana Jela ana uwezo wa kuvunja sheria kwa maneno mbele ya mahakama🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮 Hata kama ni ubabe sio kwa kiwango hichi asee
6 Reactions
– Replies
– Views
Yn 10:28-29 SUV [28] Nami nawapa uzima wa milele; wala hawatapotea kamwe; wala hakuna mtu atakayewapokonya katika mkono wangu. [29] Baba yangu aliyenipa hao ni mkuu kuliko wote; wala hakuna mtu...
0 Reactions
0 Replies
82 Views
https://www.youtube.com/live/3r1VM5Popbw?si=5ngxqgUwSDdRvH2z Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, leo Julai 22, 2026, jijini...
0 Reactions
2 Replies
114 Views
HAYA NDIYO MAKOSA 99 YALIYOKUWEPO KWENYE TALAKA NILIYOMPA MKE WANGU. Na, Robert Heriel TAIKON WA FASIHI ROBERT HERIEL S.L.P TIBELI YAH: SABABU 99 YA KUMPA TALAKA MKE WANGU Kichwa cha habari...
19 Reactions
130 Replies
17K Views
Yes, huwezi kumpangia mtu jambo la kufanya ila ushauri na maoni haviepukiki. Huku ninakoishi nimeona familia maskini kabisa, wanaishi kwa mshahara wa laki 3 , au mchoma mihogo . Analazimisha...
13 Reactions
80 Replies
1K Views
TheRealOdyssey! Ninaandika kwa heshima kubwa na kwa nia njema ya kuona elimu katika halmashauri ya Musoma ikipiga hatua na kuwa mfano wa mafanikio katika Mkoa wa Mara na Tanzania kwa ujumla. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
77 Views
Sisi watanzania waumini na wasiokuwa waumini tuko nyuma ya Walid Kawambwa. Tuhuma zote anazotoa huyu dada, Bella dhidi ya sheikh walid kisheria ni makosa ya jinai ambayo huyu dada alitakiwa...
5 Reactions
28 Replies
509 Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watu wengi husubiri siku nzuri zije, nafasi ijitokeze, au mtu fulani abadilishe maisha yao. Lakini maisha hayabadiliki kwa sababu muda umepita; hubadilika pale...
9 Reactions
18 Replies
263 Views
Mtaani siku hizi kila mtu anakuambia "fanya kile kinachokupa furaha." Hii ni kauli ya uongo na mtego wa kisaikolojia uliotengenezwa kukufanya uwe mvivu, mnyonge, na mtu asiyeweza kuvumilia dhoruba...
4 Reactions
4 Replies
136 Views
Meneja wa Bandari za Ziwa Tanganyika EDWARD SYLVESTER MABULA afafanua umuhimu wa Meli nne (4) zilizozinduliwa na Rais Mhe. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN Mkoani kigoma, kwamba meli hizo zilizozinduliwa...
0 Reactions
0 Replies
59 Views
Ni ile kali- Double Kick- inaitwa. Ni wafugaji wa Maeneo ya Nungwi. Ni wale-Maksai kwa ajili ya kuvuta mikokoteni ya kubebea vitu mbalimbali. Wanawanyeshwa hizo pombe ili wafanye kazi kwa nguvu...
10 Reactions
34 Replies
660 Views
Mambo vipi? Leo nikukumbushe jambo moja muhimu. Huenda kwa sasa unapitia kipindi kinachokuletea hofu. Labda ni masomo, changamoto za kifedha, biashara, kazi, uhusiano uliovunjika, au ndoto...
2 Reactions
1 Replies
100 Views
TAMAA Tatizo la hawa wenzetu wa TZ wanatupiga sana, Kitu alichonunua elf 20 anataka kukiuza elf 60. kwa machina hakuna hiyo, kwa wateja tunaheshimiwa bila kujali muonekano wala kujuana na bei zao...
11 Reactions
42 Replies
2K Views
Habari za asubuhi Leo katika pitapita Zangu nimekutana na clip ya bibi mwenye nyumba pamoja na Mpangaji wake wakiwa kwenye mzozo mzito na sababu za mzozo wao ni kama zifuatazo. 1. Kijana...
10 Reactions
127 Replies
2K Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea na utekelezaji wa mradi wa kimkakati wa uondoshaji majitaka wa Buguruni, ambao umefikia asilimia 30 ya utekelezaji na...
1 Reactions
1 Replies
90 Views
Takribani wakazi 17,200 wa maeneo ya Nzasa, Somelo na Zingiziwa katika Wilaya ya Ilala wanatarajiwa kunufaika na huduma ya maji safi na salama baada ya Mradi wa Maji wa Nzasa–Somelo kufikia...
0 Reactions
0 Replies
68 Views
Mwenyezi Mungu amesema: "Basi ni neema zipi za Mola wenu mnazozikanusha?" (Surat Ar-Rahman 55:13) Hili ni swali ambalo Qur'an imelirudia mara nyingi ili kumfanya mwanadamu atafakari. Leo kuna...
0 Reactions
2 Replies
89 Views
Back
Top Bottom