Ni kati ya mawili: Kiburi au uwezo mdogo

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,590
Reaction score
14,921
Pamoja na wasomi na wazalendo kusema umuhimu wa sheria na maridhiano serikali na machawa wake hawataki

Je ni kiburi chao cha kutokujali au ni uwezo mdogo wa viongozi wetu ambao wamezidiwa na maji!?
 
Sababu ni zile zile tu toka tunasoma O-level mpaka leo nazeeka hazibadiliki.

Lack of education,lack of capital,disunity among people,land alienation(Chinese and Arabs taking everything we own),Poor infrastructure,Ignorance of some african chiefs.

Sema point za kipindi kile nilikuwa naona kama nazingua lakini ndio haya nayaona leo.Watu weusi kazi kweli(hatubadiliki)
 
Tanzania elimu haisikilizwi elimu yako so chochote so hata ushauri wako wakisomi so chochote
 
Pamoja na wasomi na wazalendo kusema umuhimu wa sheria na maridhiano serikali na machawa wake hawataki

Je ni kiburi chao cha kutokujali au ni uwezo mdogo wa viongozi wetu ambao wamezidiwa na maji!?
Hadi pale wananchi tutakapokuwa na nguvu ya kiwajibisha serkali.
 
Pamoja na wasomi na wazalendo kusema umuhimu wa sheria na maridhiano serikali na machawa wake hawataki

Je ni kiburi chao cha kutokujali au ni uwezo mdogo wa viongozi wetu ambao wamezidiwa na maji!?
Mambo yote mawili yanahusika.
 
Back
Top Bottom