Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 505
- 487
#KURASA
Hivi karibuni wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, waligomea kwenda mahakamani kusikiliza na kufuatilia kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
Kukataa kwao kwenda mahakamani haikuwa bahati mbaya, ni kuanza kuweka mgomo baridi dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho John Heche, anayekabiliwa na tuhuma za wizi na ufisadi ikiwemo kukwapua pesa za michango ya tonetone.
"Katibu Mkuu, watu ni wachache huku" alisikika Tundu Lissu akiongea kuonesha masikitiko kutokana na wafuasi wa CHADEMA kususia kufika mahakamani.
Taarifa kutoka ndani ya chama hicho zinasema wana CHADEMA hao walisusia kwenda mahakamani ikiwa ni hatua ya kukerwa na tuhuma za ufisadi na wizi zinazomkabili John Heche wakitaka chama chao kichukie hatua stahiki dhidi yake huku hali halisi ikionekana chama hicho kutaka kumlinda.
Jambo hili CHADEMA na Heche wanatakiwa kujifunza kwani linaonekana wazi linaenda kuleta tafrani kubwa katika chama hicho, kwani panapofuka moshi tambua moto unakuja, ngo
ja tuone.