Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wahenga wanatuambia njia bora ya kulitatua tatizo sio kulikimbia bali ni kulikabili lakini kila nikitafakari napata ukakasi kidogo naona kabisa labda inategemeana na tatizo lenyewe kwakua kuna...
1 Reactions
3 Replies
85 Views
Askari wa Usalama Barabarani waache kubambika madeni kwenye magari ya watu, gari yangu ilikatiwa deni ambalo siyo langu, ilionekana ilikamatwa kwa Mwingira Dar es Salaam wakati gari haijawahi...
5 Reactions
21 Replies
919 Views
Anonymous
Habari JamiiForums, Kuna changamoto ya ucheleweshaji wa maombi ya uhamisho kwa watumishi wa umma walio chini ya TAMISEMI. Niliwasilisha maombi yangu kupitia mfumo tangu mwezi Januari 2026...
2 Reactions
0 Replies
211 Views
Wanabodi, Nipashe ya Leo 16/06/2024 NGUZO 7 ZA MANISTATION Hili ni bandiko mwendelezo wa wiki iliyopita. Kama hukulisoma bandiko la kwanza, anzia hapa Siri ya Mafanikio Kupitia Manifestation -1...
47 Reactions
175 Replies
10K Views
Wakuu habari ya majukumu,,,,natumai Mungu anawapigania sana katika mapito yote hapa chini ya jua. Mimi niende kwenye maada,,nimekaa siku moja nikaanza kujihoji Mimi ni nani kwenye hili? Maana ni...
0 Reactions
0 Replies
65 Views
Dodoma Jiji walitangaza kujenga barabara zilizopo katikati ya jiji mwezi mmoja uliopita (Juni 2026) wakachimbua barabara maeneo ya mjini ambapo kuna biashara zetu na ofisi wamezitelekeza bila...
2 Reactions
4 Replies
196 Views
VODACOM wakiishiwa kwa tulio na simu na line zao wanaiba mchana kweupee..! Hebu ona ujumbe nimetumiwa.. "Umetozwa Sh 100.0 TSH kwa ajili ya hadithi BABA NISAMEHE. Piga 0901767676 kuweza...
23 Reactions
63 Replies
1K Views
Wana baadhi ya mapungufu yao sio wakamilifu sehemu zote lakini wamejitahidi kwenye hivi vitu Hawana mtu wa ndani wala wa nje, ukienda kwao huna haja ya kutambulishwa umejiunga, kwamba fulani hebu...
7 Reactions
19 Replies
501 Views
Pichani ni Mama Miriam Obote (90), mke wa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Uganda, Hayati Apollo Milton Obote na Mama Maria Nyerere (95), mke wa Rais wa Tanganyika, Mwalimu Nyerere. Aliyekosekana hayo ni...
3 Reactions
9 Replies
244 Views
HABARINI WACHAGA WOTE JAMVINI NIMEPATA KUHUDHURIA MISIBA KADHAA YA WACHAGA IKISAFIRISHWA KWENDA MOSHI SWALILANGU KUU JAMANI MBONA TUKIWA DAR HAMUWAWEKEI MAREHEMU MATARUMBETAA TUKIFIKA PALE HIMO...
3 Reactions
13 Replies
328 Views
Kuna wadudu wafuatao wakikukamata wanakunyoosha kweli kweli je umewahi kukumbana na yupi kati ya Hawa? Chawa, Viroboto Kunguni Funza/vitekenya Kwa upande wangu Nina historia ya kunguni kipindi...
3 Reactions
12 Replies
185 Views
Ni Jambo la kushangaza kwamba licha ya maendeleo ya teknolojia na uwepo wa fibers bado abiria wa SGR wanakosa mtandao ndani ya train wakiwa safarini. Hili ni Jambo la kushangaza na linapaswa...
3 Reactions
7 Replies
122 Views
Hivi bado kuna haja ya kuendelea kuitumia hii salamu katika zama zetu hizi? Kwa lipi hasa? Katika misingi ya salamu zote kwa lugha zote duniani hakuna kitu chenye mfanano na "shikamoo". Ili...
18 Reactions
113 Replies
8K Views
Sijui wanaelewaa neno ugaidi na hatari za kisiasa. Leo nilitaka kueleza maana input politics na out politics achana na diplomatic. Kwa mambo yanayofanywa ndani ya siasa za CCM zinaweza kuifanya...
2 Reactions
2 Replies
80 Views
Anonymous
Mimi mdau wa usafiri wa Mwendokasi au UDART, kero yangu ni hizi card wanazotumia mwendokasi, si mbaya lakini naomba Serikali na Wizara itusaidie kuunganisha N-CARD itumike pia na kwenye mwendokasi...
1 Reactions
3 Replies
89 Views
Kama ni Uhuni basi alianza Mwarabu kwa kutuuza kama nyanya kupitia biashara ya Utumwa Mtanzania ameumbwa kuonewa na kusamehe inawezekana hii ni laana Kuuzwa kama nyanya, na kuuwawa na watumwa...
2 Reactions
7 Replies
96 Views
Anonymous
Mamlaka ya maji safi Mtwara Mjini (MTUWASA) nimelipia gharama za kuunganishiwa huduma ya maji tangu mwezi wa nne mwaka huu wa 2026 hadi sasa hawajaniunganishia huduma ya maji na ukiwapigia simu...
0 Reactions
0 Replies
57 Views
Anonymous
Kero yangu ni kutoka Mwanza Stendi ya Daladala eneo la Posta maarufu Stendi ya Igombe, vyoo vya kulipia ambavo vinapatikaha hapa stendi kwenye majengo ya Mwanza City Council (MCC) ni vichafu sana...
0 Reactions
0 Replies
156 Views
Obwere bei ni 4,209 per litre ila Busurwa ni 4,750 wakat n ndan ya wilaya moja na amekuwa akifatiliwa anadanganya et ni kwa ajili ya wavuvi wake lakin n uongo hana wavuvi anawauzia wananchi wa...
0 Reactions
0 Replies
50 Views
Anonymous
Mimi ni mkazi wa Zanzibar na napenda kuwasilisha kero kuhusu hali ya usafi katika eneo la Michenzani, Jumba Namba 2. Eneo hilo limekuwa na mazingira ya uchafu ambayo hayalingani na hadhi ya eneo...
0 Reactions
0 Replies
144 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…