Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,750 Reaction score 37,397 Jul 24, 2026 #1 Mpaka sasa huwezi kuelewa huyu waziri wa nini, huyu ni mtumishi wa nini. Tokea siku ya Oktoba 29 imefikia polisi ndio anacheo kuliko JWTZ. Tuje kwa msemaji wa serikali yani sasa kawa msemaji wa CCM. Mambo anayozungumza ni kujibia CCM.
Mpaka sasa huwezi kuelewa huyu waziri wa nini, huyu ni mtumishi wa nini. Tokea siku ya Oktoba 29 imefikia polisi ndio anacheo kuliko JWTZ. Tuje kwa msemaji wa serikali yani sasa kawa msemaji wa CCM. Mambo anayozungumza ni kujibia CCM.
fact only JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 2,395 Reaction score 3,790 Jul 24, 2026 #2 Kasheshe.