Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii ni kwa waliofika mitaa ya ushuani Dodoma kwa hivi karibuni. Naishi dsm, lakini nimeishi dodoma 5 years back, nimekaa Arusha na Mwanza pia. Sikatai Dar ndio baba lao kwa Tz kwenye vitu...
34 Reactions
286 Replies
4K Views
Sio jambo la kuweka jina ila nitaeleza kwa ufupi miaka ya JK huyu msanii alianza kutamba haraka na nyimbo zake na bado kijana. Kuna kisa kimoja ambacho ni mtu aliwahi kuniambia alishawahi kufika...
7 Reactions
19 Replies
546 Views
Mmilik wapunda Punda chawa Pubda When the master finds the right donkey, the work gets done. When the donkey finds the right master, the journey becomes easier. But when the master chooses the...
1 Reactions
1 Replies
56 Views
👉Askari wa kituo kidogo cha polisi Mkugwa wabaini mchezo mchafu wa mapenzi baina ya walimu na wanafunzi. 👉Mwanafunzi akiri kufanya mapenzi na mwalimu kwa hofu ya kunyanyaswa shuleni. 👉Mkakati wa...
8 Reactions
59 Replies
8K Views
Soko la Hisa Dar es salaam limevamiwa rasmi na matapeli wa Kimataifa. Hawa matapeli wanaweka Page za Insta na Fb na wanataka ufuatw link wakufundisgw namna ya kununua Hisa. Hawa matapeli hakuna...
2 Reactions
7 Replies
192 Views
Hivi mpaka sasa, bado kuna Watanzania wanaotegemea kuni na mkaa kwa ajili ya kupikia? Swali hili linaweza kuonekana rahisi, lakini linaigusa moja kwa moja hali ya nishati ya kaya nyingi nchini...
4 Reactions
42 Replies
785 Views
Hii ni kauli dume sana, rafiki yangu kanitamkia, sikujua kama anafahamu hilo.. Habari za majukumu wakuu. Nimeona niandike au kushare kidogo juu ya wema rafiki yangu amenifanyia na anaendelea...
7 Reactions
12 Replies
348 Views
Anonymous
Mimi ni mkazi wa Newala -Mtwara, kila Mara Tumekuwa na changamoto ya kukatika umeme , tunashindwa kufanya kazi zetu zinazotumia umeme; mda mwingine siku mbili mfululizo bila kupewa taarifa yoyote...
0 Reactions
4 Replies
322 Views
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Dkt. Ayub Rioba, ametetea utendaji wa chombo hicho cha habari cha umma dhidi ya ukosoaji kuwa kinairipoti zaidi serikali kuliko...
0 Reactions
0 Replies
85 Views
Utoaji Wa Huduma wa Wahudumu wa Afya kwenye Vituo vya afya nchini ni wa udhalilishaji na kutweza utu Wa Wagonjwa/Wahitaji wa huduma ya afya, Si Sawa Mama Mjamzito kupimwa njia au Kuzalishwa na...
2 Reactions
31 Replies
341 Views
Anonymous
Kituo cha Police Mkata Kitengo cha Usalama Barabarani kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa maadili ya kazi yaani rushwa pale ni halali yao kabisa ndio sehemu wameona pakupatia hela ukio-overtake pale...
1 Reactions
2 Replies
462 Views
Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia (WHC) ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kilichoanza Julai 19, 2026 kinaendelea jijini Busan katika Jamhuri ya Watu wa...
0 Reactions
2 Replies
160 Views
Kumekuwa na ongezeko la watu wanaodai kuwa Dunia si duara bali ni bapa (flat). Ningependa kusikia kutoka kwa wanaoamini nadharia hiyo. Maswali yangu ni haya: Mnasemaje kuhusu mchana na usiku...
1 Reactions
0 Replies
67 Views
Akili Bandia (Artificial Intelligence - AI) haijaja na bunduki wala vita vya wazi, bali imeingia taratibu kupitia vioo vya simu zetu. Wakati wengi wakisherehekea urahisi unaoletwa na AI, kuna...
4 Reactions
34 Replies
616 Views
Taa hizo za kuongezea magari na Watembea wa Miguu eneo la Chuo Kikuu cha Kikatoliki Mbeya (Catholic University of Mbeya - CUoM) zina wiki sasa hazifanyi kazi licha ya kwamba bado ni mpya kwani...
0 Reactions
0 Replies
157 Views
Katika pitapita zangu nyumbani kwenye albamu nikaja kukutana na hii picha ya UWANJA WA JANGWANI aisee nilipatwa na simanzi nzito nilipoona huu uwanja kwani kuna kumbukumbu ilinijia kipindi hicho...
2 Reactions
5 Replies
178 Views
Umeme ulianza kukatika na kuwaka mara kadhaa usiku wa manane, ilipofika alfajiri umeme ukapiga baibai my sani, ndiyo kwaheri hiyo haujarudi. Je, huko kwingine umeme upo? Kwa hali hii hayo maonesho...
0 Reactions
15 Replies
362 Views
Balozi Mobhare Matinyi (wa tano kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya ETDCO, ambayo ni kampuni tanzu ya TANESCO waliokuwa ziarani nchini Algeria. Kulia...
0 Reactions
0 Replies
146 Views
Kaya 470,195 zilizokuwa masikini wa kutupwa, zaaga umasikini, zajitegemea Watu wanaomiliki makazi bora nao waongezeka, fedha TASAF zikiongezwa Ni mwendelezo hatua za kusaidia familia masikini...
0 Reactions
0 Replies
42 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…