Wakuu,
Usafiri wa umma una vimbwanga yake, unaweza kukutana na jambo mpaka ukatamani ungekuwa na gari lako ili usikutane na masaibu hayo!
Mabasi machafu, wazee wa kubadili ruti na kusema magari...
Baada ya andiko la Mdau alilozungumzia Huduma ya Faiba kutoka TTCL, andiko hili hapa ~ TTCL wamepokea malipo yangu ya Faiba kisha wanasema huduma haijafika Goba - Mageti
Ufafanuzi umetolewa...
Kuna taarifa zinatembea chini kwa chini kuwa huenda mtume Boneface Mwamposa akanyanganywa madhabahu ya Kawe baada ya kilio cha muda mrefu cha wananchi kuhusu namna anavyowatendea waumini wanaotoka...
habari wadau, naombeni majibu njia gani nzuri ambayo mtoto itamsaidia sana mbeleni.
kati ya hizo option mbili, maana baba yake kipato changu kidogo hakiruhusu kufannya vyote kwa pamoja. hivyo...
Wakazi wa Mkuranga Mkoani Pwani maeneo ya Mipeko (MSIKITI wa KIPATI) tuna changamoto ya umeme, ni mdogo sana (low voltage) ni shida, ikifika Saa moja Jioni unakatika na kurejea Saa 6 Usiku.
Giza...
Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno.
Pamoja...
Serikali tunaomba mzuie Carrot zinazotoka Kenya. Carrot hizi zinamuumiza sana mkulima.
Ni kama kumpambanisha mkulima wa Tz na Kenya kwenye soko tena la nyumbani.
Wakulima wengi wa nyumbani sio...
Ingefaa Tanzania tuwe na barabara za lami za aina mbili au madaraja mawili. Aina ya kwanza iwe na barabara za lami za kudumu na aina ya pili iwe barabara za lami za muda.
Barabara za lami za...
Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Nickson Simon John, Oktoba 8, 2026 alifanya kikao na Watumishi wa Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe katika Ukumbi wa Sambila, akisisitiza umuhimu wa kujenga...
Wanawake wengi walio olewa na matajir au wenye uchumi mzuri hunufaika kiuchumi zaidi pindi wanaume zao wanapokufa Huku mtaani tunashuhudia wamama,wanawake wakiachiwa biashara,makampuni,majumba na...
ARUSHA
Wasajili wa Hati Wasaidizi kutoka mikoa mbalimbali nchini wametakiwa kutumia mifumo ya kielektroniki ikiwemo e-Ardhi na e-Office katika utekelezaji wa majukumu yao ili kuongeza ufanisi...
Pole nyingi ziwaendee wafiwa.
Ukiangalia kwa umakini zaidi hili tukio, utagundua ndugu KWEKA ni shujaa, amepeleka ujumbe mzito kwa wanawake wenye tamaa na wababaishaji kwenye taasisi ya ndoa...
Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) inapenda kutoa ufafanuzi wa changamoto ya huduma ya Maji katika mtaa wa River view katika eneo Goba iliyorepotiwa hivi karibuni...
Kuboresha huduma za ardhi na kurahisisha upatikanaji wa hati za umiliki ni sehemu muhimu ya juhudi za Serikali za kuhakikisha wananchi wanapata huduma kwa ufanisi na kwa kuzingatia taratibu...
Hi,
I used to think that reading was boring until I found books that really sparked my interest. Reading became important to me because it’s fun and it teaches me new things. It keeps my mind...
Haiwezekani viwanja siku hizi havikai kabisa, watu tumeweka mpaka reminder alarm inaita kuchungulia kwenye App kila kiwanja ikiclick mzigo unaload masaa ukicancel request ukarefresh kimebebwa...
Bagamoyo inaandaliwa kuwa kituo muhimu cha viwanda, biashara na ajira kupitia Bagamoyo Eco-Maritime City, huku Serikali ikilenga kutumia fursa za uchumi wa bahari kuimarisha uwekezaji, kuongeza...
Wanamgambo machachari waislam wa madhehebu ya Shia tawi la Zaydi, wameamua kujenga Kaaba yao wakiifananisha na ile ya Makkah na kuanza kuabudu kwa kusujudu na kubusu.
Kitendo hicho kimewaumiza...
Watanzania waliopata fursa ya kutoa huduma mbalimbali katika Mkutano wa 153 wa Mabunge duniani (IPU) unaofanyika Arusha Tanzania wamesisitiza umuhimu wa kutunza amani nchini ili Tanzania iendelee...