Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

  • Redirect
Kwa hii picha nmesikitika sana kujua kwamba kuna baadhi za shule zina itikadi za kibaguzi hadi sasa, unaweza kujisifia umempeleka mtoto wako shule nzuri ya milioni 30 kwa mwaka ambayo ina watoto...
1 Reactions
Replies
Views
Habari za humu wanajamvi, naamin mu wazima wa Afya, leo naomba kuwashirikisha Kuhusu unyanyasaji wa hawa ACACIA ambaye ni mshirika wa AFRICAN BARICK GOLD(ABG) ambao wanamiliki migodi ya dhahabu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wadau, natumai mu wazima wa afya na mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila kukicha. Leo nimeona magazeti mengi yakiandika kuhusu shule binafsi kutoruhusiwa kurudisha wanafunzi...
0 Reactions
2 Replies
808 Views
Wapendwa tusaidiane . Kuna nyaya za umeme zimekatika zimelala barabarani hapa Sinza A karibu na nice lodge zina moto na zinatoa cheche . Tumewapigia TANESCO Tangu saa kumi till now hawajaja ...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Watu watatu wanaotuhumiwa kupanga na kufanikisha kumuibia Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe begi lililojaa pesa, wamekamatwa na kuburuzwa Mahakamani. Vyombo vya habari nchini humo...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Vyuma vinapashwa moto hapa kabla ya kutua nyumbani na kuja kuwahudumia watanzania. Hongera awamu ya 5.
9 Reactions
45 Replies
6K Views
Mkazi wa Kijiji cha Wami Luhindo Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, Salma Omary, amenusurika kuuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali na mtu asiyejulikana baada ya kupokea fedha za kusaidia...
0 Reactions
1 Replies
702 Views
Ikiwa imepita zaidi ya miaka mitatu toka awamu ya tano kuingia madarakani, tumeshuhudia panga pangua ya safu za uongozi kila kukicha. Hii ilianza mapema tu baada ya awamu mpya kushika nchi...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna uzi niliuanzisha kuhusu kuuliza maswali kuhusu ......(wasijefuta tena)wakaufuta na maswali yalikuwa mengi,najibu baadhi ya yale ninayokumbuka. Miongoni mwayo ni Kwa nini mnaoa wake wanne...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
  • Redirect
Kwa mara nyingine tena kama kawaida ya Raisi wetu mpendwa ndugu John Joseph Pombe Magufuli, raisi wa wa watu anakwenda kuzindua ndege yetu nyingine, kwa hakika Tanzania inasonga mbele!!!
0 Reactions
Replies
Views
Habari wanaJF, Nimepata taarifa kuwa Mtu mmoja amejirusha kutoka Ghorofa ya 5 pale Hospitali ya BUGANDO na kufariki hapo hapo. Tukio hilo limetokea jioni hii, lakini sababu za mtu huyo kujiua...
3 Reactions
45 Replies
9K Views
Askari kanzu kukamata wadanganyifu wa mafao: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Jenister Mhagama, amesema kuanzia sasa kwenye ofisi za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe amewaambia Wenyeviti wa vijiji wamkamate na kumuweka ndani mtu yeyote ambaye hajachangia ujenzi wa MAABARA katika shule za Secondary. Asipotoa pesa kwa muda wa saa 6...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Baada ya serikali kutoa maelekezo ya kurejea katika kikokotoo cha zamani, wastaafu wanaotoka sekta binafsi sasa wataendelea kulipwa mafao ya mkupuo kwa asilimia 25 ya michango yao, huku wale wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
UNAPORUHUSU. NAIBU WAZIRI KUONGEANA WEWE ULE N HESHIMA KWAKO ANA MAMBO MENGI YA KUFANYA SASA KWANINK UOMBE RADHI 1))SIPENDI ULIPOONGELEA SWALA LA MH RC WA ARUSHA NA MKUU WA WILAYA YALE N MAMBO...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Ndugu zangu juzi nilikuwa na safari ya kutoka Norway kuja hapa kwetu. Nilikuwa na mabegi matatu, bag moja lilikuwa na simu nne, nikaambiwa mkaguzi mmoja nichukue bag niende nazo kwenye chumba cha...
2 Reactions
78 Replies
10K Views
God is constantly in war, His disire is to villain other spirits. God is spirit and spirit comes from another spirit. Labda tujiulize ilichukua muda gani wa yeye kujitambua kuwa ananguvu zote...
3 Reactions
14 Replies
903 Views
Habarini za usiku huu, naombeni mwenye biblia anisaidie ninapitia wakati mgumu sana kwa moyo wangu wote nimeamua kumrudia muumba wangu kuanzia sasa mpaka kifo changu Nikishawai kureta andiko la...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Wakuu naomba kufahamu nauli ya Kutoka Stendi kuu ya Mabasi Dodoma kwenda Ihumwa (Mji Mpya) Ni shilingi ngapi? Na pia nahitaji kujua Umbali wake. Tafadhali sana nahitaji msaada wenu wakuu.
3 Reactions
39 Replies
6K Views
Wataalamu wa anga za juu wamefichua kwamba walinasa mawimbi ya redio ya ajabu ambayo yalikuwa yanatoka mbali sana katika anga za juu. Mawimbi hayo yalinaswa na darubini ya kufuatilia mawimbi ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom