kikoozi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 2,184
- 3,221
Habarini za usiku huu, naombeni mwenye biblia anisaidie ninapitia wakati mgumu sana kwa moyo wangu wote nimeamua kumrudia muumba wangu kuanzia sasa mpaka kifo changu
Nikishawai kureta andiko la kuomba biblia humu ndani ila sikupata msaada wowote zaidi ya aadi nyingi zisizo na matokeo
Narudi tena mbele zenu, naomba mwenye biblia kubwa au size ya kati anaisidie (maana ntaweza kuzisoma kwa ulaisi kungana na maandishi yake yataendana na macho yangu)
Naombeni sana
Napatikana Dar es salaam, mbezi ya kimara
Sent using Jamii Forums mobile app