Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia ya UNESCO kilihitimishwa katika Kituo cha Maonesho cha BEXCO jijini Busan, Jamhuri ya Korea, Julai 29, 2026. Mkutano huo wa kihistoria wa siku 10...
Habari wadau,
Kwanza napenda kuipongeza Serikali kwa kutuletea huduma ya umeme kupitia mradi wa REA katika Kijiji cha Mwalugulu, Kata ya Mwalugulu, Halmashauri ya Msalala.
Kijiji cha Mwalugulu...
Habar za mda huu wadau,
Naomba ushauri wenu nimekuwa nikifatilia suala la uhamisho kwa nguvu saana mara ya mwisho TAMISEMI wananiambia barua yako ipo halmashaur subili utaarifiwa,
Ikawa kimya...
Unapoagiza gari lililotumika kutoka nje ya nchi kwenda Tanzania, unalipa kodi za :
1.Ushuru wa Forodha (Import Duty - 25%),
Ushuru wa Bidhaa (Excise Duty), .
Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT -...
Bingwa wa Magonjwa ya Mfumo wa Mkojo na Uzazi kwa Wanaume kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma, Dkt. Remigius Rugakingira, amesema kuwa uume unaweza kuvunjika iwapo utapata msukumo mkubwa...
Wakoloni walipeleka maendeleo kwa kutumia mfumo wa amri, kulazimisha kazi, na kujenga miundombinu maalum kama reli kutoa rasilimali badala ya kugawanya utawala.
Hasara za kugawa wilaya nyingi ni...
Wakuu samahani naomba mtu yeyote aliyewahi kukutana na changamoto yoyote katika suala lolote linalohusiana na Huduma za TRA aandike hapa,itapendeza zaidi ukifafanua ugumu ulikuwa wapi,?
Zaidi...
Habarini ndugu zangu wa thamani sana, wa jukwaa zuri za Habari na Matukio. Nimekumbuka maisha ya miaka ya nyuma mno leo, kuna journal niliwahi kusoma inayohusu maisha.
Kuna kauli ukisikia watu...
Chama cha ACT Wazalendo kimesikitishwa na kinalaani vikali ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, ubomoaji wa makazi, uteketezaji wa mali, vitisho na ukatili unaofanywa na Kampuni ya Nolic kwa...
Kila halmashauri huwa ina mzee mmoja ambae ni mastermind na connector wa maswala tofauti. Hana elimu ila ana uzoefu wa kutosha wa siasa za halmashauri
Alianza kama mkata majani hapo halmashauri...
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) inapenda kuwataarifu wadau wote na umma kwa ujumla kuwa huduma zote za utoaji wa Leseni za Biashara Kundi “A”, ambazo awali zilikuwa zinapatikana...
Dkt. MABULA: Ujenzi wa ghati kwenye Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) Mkoani Tanga umezingatia uhifadhi wa mazingira ya bahari na viumbe hai
Mradi wa EACOP umejenga ghati...
Unyanyasaji wa kijinsia mtandaoni unawanyima Watu wengi kupata fursa zilizoko huko mtandaoni
Mtandaoni kuna fursa nyingi lakini wapo weni wanaoogopa kuwa mtandaoni kwa kuongopa unyanyasaji ambao...
Vijana wa nia nzuri wana lalamika kwa idadi ya masingle maza na ambao washamiliki usajili wa timu tofauti.
Kwa wimbi ambalo napata malalamiko ni wale wenye nia ya kuoa ila kinacho waumiza...
Nina Mtu ninayeweza kumuita ni rafiki yangu, lakini natamani kwa sasa hata kupunguza urafiki naye kwani ni kama anakua kero. Yeye ana mtoto japo hana ndoa, mimi sina mtoto wala ndoa pia...
Ninaishi na Kijana wa ndugu yangu, alikuja kwangu miezi 5 iliyopita, ana umri wa miaka 17 kwa sasa ila amekuwa mraibu wa kucheza gemu la mpira linaitwa eFootball mpaka anakesha usiku mzima analala...
Hauna haki ya kuwa chawa ni kujikosesha heshima tu, hamlipwi mnashinikizwa sababu mnafahamika.
mtu kama Pascal Mayalla Robert Heriel Mtibeli n.k
Ni case study hawana namna .
kama mimi...
Nini tofauti kati ya AI na nafasi ya Roho Mtakatifu?:
1. Asili ya Kiungu dhidi ya Mashine
Roho Mtakatifu: Ni Mungu hai, mwenye hisia, mapenzi, na uwepo wa milele. Yeye ni Nafsi ya Tatu ya Utatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.