Nina Mtu ninayeweza kumuita ni rafiki yangu, lakini natamani kwa sasa hata kupunguza urafiki naye kwani ni kama anakua kero. Yeye ana mtoto japo hana ndoa, mimi sina mtoto wala ndoa pia...
Ninaishi na Kijana wa ndugu yangu, alikuja kwangu miezi 5 iliyopita, ana umri wa miaka 17 kwa sasa ila amekuwa mraibu wa kucheza gemu la mpira linaitwa eFootball mpaka anakesha usiku mzima analala...
Hauna haki ya kuwa chawa ni kujikosesha heshima tu, hamlipwi mnashinikizwa sababu mnafahamika.
mtu kama Pascal Mayalla Robert Heriel Mtibeli n.k
Ni case study hawana namna .
kama mimi...
Nini tofauti kati ya AI na nafasi ya Roho Mtakatifu?:
1. Asili ya Kiungu dhidi ya Mashine
Roho Mtakatifu: Ni Mungu hai, mwenye hisia, mapenzi, na uwepo wa milele. Yeye ni Nafsi ya Tatu ya Utatu...
Ndugu na rafiki zako wanachopaswa ni kuona tu au kuambiwa tu
Juzi nimeshahamia nyumbani kwangu.
Niko Marekani wiki ya pili sasa
Karibu kwenye mahafali yangu next week napata masters.
Namshukuru...
ILIVYOTOKEA AJALI YA BOTI.
KULINGANA na Hussein Ajali "Chishango" aliyekuwa anaendesha Boti amesema Engine zote 2 za Boti zilizima wakawa wanapelekwa tu na mkondo sehemu ambayo hakuna...
Kwa kipindi sasa, Serikali imekuwa ikieleza kuwa nchini kuna vitisho vya ugaidi na kwamba vyombo vya ulinzi na usalama vinaendelea kuchukua hatua za kuzuia na kukabiliana navyo. Wakati huohuo...
Kwa Mara ya Kwanza Tanzania inakuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Taasisi ya Africa50 na Jukwaa la Miundombinu Afrika. Mkutano huu unatarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania...
Katika siku za hivi karibuni, Jeshi la Polisi Mkoani Tabora limefanya operesheni ya kushtukiza usiku ya kupima kiwango cha ulevi kwa madereva wa vyombo vya usafiri wa abiria na mizigo.
Hata...
Kupitia ukurasa huu watanzania na viongozi kama Kennedy Orinyo Nyamanga naomba kujiaminisha kuwa mkurugenzi mkuu wa amani na urasimishaji na uhamasishaji na HATI WA Tanzania na pia napenda...
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imepokea taarifa za malalamiko yaliyotolewa kupitia baadhi ya vyombo vya habari kuhusu suala la utoaji wa vyeti mbadala kwa wahitimu waliopoteza...
1. Kutaka kuwa karibu na familia hasa mwenza na watoto.
2. Kukosekana kwa nyumba bora za watumishi au za kupanga.
3. Gharama kubwa za kupanga hasa katika majiji.
4. Upungufu wa huduma za kijamii...
Mmoja wa madereva wa magari ya kenta katika Soko Kuu Arusha amesema wamiliki wa magari wanakabiliwa na mzigo mkubwa wa tozo na gharama mbalimbali zinazowafanya kuendesha biashara kwa ugumu...
Tukisema CCM ni takataka wakina Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable Crocodiletooth na wengine vinara.
Haya mtueleze haya maandamano ni ya pesa yapo uhuru kupitia wizara gani.
Mkija na...
MAGAMBO MAKONGORO AMEFARIKI DUNIA
Kwa wanaomfahamu Magambo Makongoro amefariki leo hospitali ya muhimbili, maziko kesho Kisutu Alasiri.
Msiba upo nyumbani kwake Msasani opp na nyumba ya Mzee...
Kwanini vijana wa mjini Wanachelewa kuoa au kuolewa kwa wanawake lakini? Vijana wa vijijini wanawahi kuoa au kuwahi kuolewa kwa wasichana?
Ni nadra sana ukute kijana wa miaka 18 au 19 hadi...
Jiandaeni kwa El Niño.
Taarifa za hivi karibuni kutoka World Meteorological Organization zinaonyesha kuwa hali ya El Niño inaendelea kujitokeza na inatarajiwa kuathiri mifumo ya joto na mvua...
Habari Tanzania !...
Leo napenda tuone aibu jamani; aibu hii tatizo la ajira limeishi miaka mingi na wataalamu tunao na wabobezi wapo wamejikalia tu huko vyuoni pasipo kutumika kikamilifu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.