Madhara ya Kula Ugolo

Madhara ya Kula Ugolo

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
807
Reaction score
1,748
*Madhara ya Kula Ugolo

1. Mfumo wa Chakula
  • Kichefuchefu na kutapika
  • Maumivu ya tumbo na kuchoma koo
  • Kuharisha
  • Vidonda vya tumbo

2. Ubongo na Neva
  • Kizunguzungu na kupungua fahamu
  • Kusahau na kushindwa kufikiri vizuri
  • Kuchelewa kwa uamuzi
  • Kulevya - unategemea ili "upate raha"

3. Viungo vya Mwili
  • Ini kuharibika - ini ndilo huchuja sumu
  • Figo kuharibika
  • Mapafu kushindwa - hasa kama unavuta kemikali zake
  • Moyo kupata matatizo

4. Mengineyo
  • Utapiamlo - unakosa virutubisho
  • Meno kuharibika
  • Ngozi kuwa mbovu
  • Hatari ya kifo kama ni kiasi kikubwa

Kemikali hatari ndani ya ugolo: toluene, acetone, benzene. Hizi ni sumu.
 
*Madhara ya Kula Ugolo

1. Mfumo wa Chakula
  • Kichefuchefu na kutapika
  • Maumivu ya tumbo na kuchoma koo
  • Kuharisha
  • Vidonda vya tumbo

2. Ubongo na Neva
  • Kizunguzungu na kupungua fahamu
  • Kusahau na kushindwa kufikiri vizuri
  • Kuchelewa kwa uamuzi
  • Kulevya - unategemea ili "upate raha"

3. Viungo vya Mwili
  • Ini kuharibika - ini ndilo huchuja sumu
  • Figo kuharibika
  • Mapafu kushindwa - hasa kama unavuta kemikali zake
  • Moyo kupata matatizo

4. Mengineyo
  • Utapiamlo - unakosa virutubisho
  • Meno kuharibika
  • Ngozi kuwa mbovu
  • Hatari ya kifo kama ni kiasi kikubwa

Kemikali hatari ndani ya ugolo: toluene, acetone, benzene. Hizi ni sumu.
Duuh hatari
 
Ukiona mtu anakula ugoro jua alikofika ni kubaya sanaaa ni mfwu anayetembea
 
Ugolo ❌ Ugoro ✅

Ugoro aka Tope...

Hii kitu mtu akila vibaya anaweza kuona kama yupo juu ya mnara na hajajshikilia popote. kwa ufupi hata kushuka ngazi moja mtu anaweza feel kama anaenda kuangukia kichwa akajikuta anashuka kwa kutambaa 🚮

Sijui kwa nini inapendwa na vijana + wabibi hivyo
 
Kama kungekuwa ba batani ya kublock mtu hapa Jf hawa ambao mnakosoa spelling ningeblock wote
maana kuna watu kaz yao ni hio tu mimi siwez kuvumilia mkosoaji wa kila kitu
 
*Madhara ya Kula Ugolo

1. Mfumo wa Chakula
  • Kichefuchefu na kutapika
  • Maumivu ya tumbo na kuchoma koo
  • Kuharisha
  • Vidonda vya tumbo

2. Ubongo na Neva
  • Kizunguzungu na kupungua fahamu
  • Kusahau na kushindwa kufikiri vizuri
  • Kuchelewa kwa uamuzi
  • Kulevya - unategemea ili "upate raha"

3. Viungo vya Mwili
  • Ini kuharibika - ini ndilo huchuja sumu
  • Figo kuharibika
  • Mapafu kushindwa - hasa kama unavuta kemikali zake
  • Moyo kupata matatizo

4. Mengineyo
  • Utapiamlo - unakosa virutubisho
  • Meno kuharibika
  • Ngozi kuwa mbovu
  • Hatari ya kifo kama ni kiasi kikubwa

Kemikali hatari ndani ya ugolo: toluene, acetone, benzene. Hizi ni sumu.
Ni UGORO si ugolo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom