KERO Kariakoo Gerezani maji machafu pamoja na kinyesi vimetapakaa

KERO Kariakoo Gerezani maji machafu pamoja na kinyesi vimetapakaa

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Hapa ni Kariakoo Gerezani maji machafu pamoja na kinyesi vimetapakaa zaidi ya miaka miwili, tunapata tabu sisi wapita njia.


 
wanatuonea wivu tu, uchumi wetu unakuwa kwa kasi sana.

meanwhile maisha ya huko algeria north afrika uchafu mtupu hata wametuzidi kwa uchafu huko algeria ...


View: https://twitter.com/i/status/2081676151395639638

Wewe mifano yako unayoitoa wala haiendani na anachosema mtoa mada.
Mtoa mada anaelezea kwamba Gerezani mtaani maji yenye kinyesi yanasambaa lakini wewe unaleta picha za nchi zingine kukiwa na machupa yametupwa kando ya ufukwe wa bahari na mtoni hapo inafananaje?
 
Back
Top Bottom