Maadui 6 wa MWANAUME

Maadui 6 wa MWANAUME

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
807
Reaction score
1,748
Maadui 6 wa MWANAUME.

1. Kutumia pesa kabla ya kuzitengeneza.

2. Kutaka kuonekana tajiri kuliko kuwa tajiri.

3. Kuwekeza kwenye starehe kuliko kujijenga.

4. Kutafuta raha za muda mfupi.

5. Kusubiri muujiza badala ya kujenga mifumo.

6. Kuweka mbele mapenzi kuliko malengo.
 
Nakubali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom