Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habarini wanajamvi, Ninasikitika kuwajulisha kwamba aliyekuwa mmoja wapo wa wakurugenzi huko PSSSF Bwana Ansgar Africanus Mushi ambaye pia ni muasisi wa kikokotoo cha mafao ya wastaafu ameaga...
12 Reactions
178 Replies
9K Views
Kutangazwa kwa gawio la Vodacom litakuwa na effect chanya kwenye bei ya hisa (bei kupanda) kwa kipindi cha hisa kuuzwa pamoja na gawio 27 Julai - 17 Agosti na itashuka kipindi cha hisa kuuzwa bila...
2 Reactions
12 Replies
239 Views
Huyu dada anafanya biashara ya matunda usiku wa manane bar akiwa na mtoto mdogo sana mgongoni Kwa kukadiria umri wa huyu mtoto ni miezi 2 - 5 Hii ni hatari kwa afya ya mtoto kwa sababu eneo...
1 Reactions
20 Replies
349 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam leo, Jumatano tarehe 29/07/2026 imewaachia huru wanafunzi 18 wa Vyuo Vikuu mbalimbali Nchini wakiongozwa na Frank Benjamin Kayamba waliokuwa...
0 Reactions
6 Replies
278 Views
NDUGU YANGU EPUKA MAMBO HAYA (7) KIROHO SIO MAZURI 1)USIPENDE KUFAGIA USIKU 🌘kufagia usiku kiroho nikutupa baraka za mafanikio gizani 2)KUSHIKWA KICHWA 💆ukiona nafasi yako ya mafanikio ipo sawa...
1 Reactions
7 Replies
228 Views
NILIMUAMBIA; ACHAGUE KUMRUDIA MKE WAKE AU TUMFUNGULIE KESI YA UBAKAJI. UKATILI KAMA HUU HAUKUBALIKI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. WIki hii nilipokea simu ya binti mmoja mwenye miaka 23...
0 Reactions
11 Replies
285 Views
  • Redirect
Chama Cha Mapinduzi kimeng'oa na kuteua viongozi wengine. ■Ni maamuzi mazito kikao cha NEC Zanzibar ■Aggrey Mwanri achukua nafasi ya Mongella ■RC Chacha kushika nafasi ya Issa Haji Ussi...
0 Reactions
– Replies
– Views
Nilikua napita napita insta kama kawa kwenye shughuli zangu, za kila siku, nikakutana na jamaa Mmoja, kashare stori yake. Jamaa anadai tangu 2017 hajawahi ishiwa kwenye acc yake ya bank chini ya...
6 Reactions
25 Replies
425 Views
Kilichofanywa kwa Polepole sio kwa makusudi ni kwamba yote yaliyofanyika kwa Hayati Magufuli na uchafu wa CCM alikuwa anafahamu ndio maana wakamzimisha ili siri zisivuje. Kwa hali inayoendelea...
1 Reactions
0 Replies
52 Views
Nilijifunza nini baada ya karibu kuingia kwenye tatizo kubwa? Nataka kushirikisha jambo lililonitokea, si kwa ajili ya kulaumu mtu yeyote, bali labda linaweza kumsaidia mtu mwingine ambaye...
2 Reactions
2 Replies
100 Views
Anonymous
Naomba suala hili lifanyiwe uchunguzi. Kuna malalamiko kuwa Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe, Katavi, wameanza kuwatoza fedha akina mama wanaojifungua watoto njiti kwa madai ya gharama za...
0 Reactions
0 Replies
89 Views
Simu: Mwaka jana, iPhone 16 ndiyo ilikuwa "ndoto" ya kila kijana. Leo, iPhone 17 imetoka na ile ya zamani inaonekana kama takataka. Teknolojia: TV ya inchi 50 uliyonunua juzi, leo inaonekana ndogo...
5 Reactions
20 Replies
281 Views
Ripoti mpya ya UN Women yenye kichwa "Chukua Hatua Sasa Kukomesha Ukatili Dhidi ya Wanawake" imebaini kuwa asilimia 70 ya wanawake walioshiriki utafiti wamewahi kukumbana na ukatili wa mtandaoni...
0 Reactions
2 Replies
106 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika...
1 Reactions
9 Replies
318 Views
Nimezaliwa mtoto wa kwanza kwa mke wa tatu wa marehemu baba, Tangu nakuwa shule ya msingi mpaka namaliza sikuwahi kumjua ndugu yoyote upande wa baba, ila nilikuwa nafahamu kubwa baba Ameshafariki...
0 Reactions
4 Replies
180 Views
Ninafikiria wengi wetu hatujafundishwa jinsi ya kufikiri kwa kila tatizo au changamoto inayotupata. Na kikawaida tupo hivi. Kufikiria "tatizo lenyewe" na kisha "ni kwa namna gani ni ngumu...
2 Reactions
0 Replies
61 Views
Kuna jambo limekuwa likinitokea kwa muda sasa, na kila ninapolifikiria najiuliza kama ni jambo la kawaida au kuna watu wengine pia wamelipitia. Ninaishi kwenye apartment ya kupanga. Jirani yangu...
2 Reactions
27 Replies
535 Views
INTRODUCTION:- Yaani nina ""fazaaa"" na mawazo hata kusalimia naona NAPOTEZA MUDA tuu...!!! Hebu twende hoja.. Watumishi wa umma ambao ni matajiri hebu njooni hapa ndugu zangu..!! Kabla ya yote...
21 Reactions
163 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…