Maisha ni maudhi tu
Hapo natokea huko chimbo kabsa nimepiga mkono ki gari , wamenambia nauli elf 5 mpaka hapo town yanayopatikana magari ya kuja Dar, poa nikakwea nikalipa paap nikafika hapo...
Wahitimu wa Diploma ya Laboratory Science 2024/2025 katika Chuo cha Karume Institute of Technology-Zanzibar wanashindwa kuomba nafasi za kujiunga na Vyuo Vikuu nchini pamoja na kushindwa kuomba...
Serikali ya Ghana imekubali pendekezo la kuongeza muda wa muhula wa rais kutoka miaka minne hadi miaka mitano, pamoja na kupunguza umri wa chini wa kugombea urais hadi miaka 35.
Hatua hiyo...
Mshauri wa Masuala ya Mazingira katika Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP)Ester Ibrahim Shemdoe, amesema mradi huo umeweka kipaumbele katika ulinzi na uhifadhi wa mazingira...
Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu ugumu wa kupata nafasi ya kuwasilisha maombi ya Visa ya China nchini Tanzania. Watu wengi huilaumu Ubalozi wa China, lakini kwa mtazamo wangu, tatizo kubwa si...
Mimi ni mdau wa afya ila kitu kinanikwaza kutoka Kituo cha Afya Mbezi, kituo hakina kompyuta za kutosha, vyumba vitatu vya madaktari chenye kompyuta nzima ni kimoja tu.
Tupo hapa tumelundikana...
Wassalaam,
Nina mdogo wangu yupo na miaka 13, kidato cha kwanza.
Huyu mtoto kiukweli ameteseka sana na baadhi ya mambo aliyoyapitia huyu mtoto yanatisha.
Alivyokuwa darasa la tano alipatwa na...
Natoa wito kwa uongozi wa elimu katika Wilaya ya Misungwi kufuatilia kwa makini mwenendo wa baadhi ya viongozi ili kuhakikisha usimamizi wa walimu unazingatia sheria, haki na maadili ya utumishi...
Kwa zaidi ya mwaka mzima sasa gari ambayo inatakiwa kutumiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) kwa ajili ya shughuli za kiofisi badala yake imekuwa ikitumika...
Maisha ya siku hizi yana changamoto nyingi—kazi, biashara, familia, masomo na mipango ya maisha. Kila mtu ana namna yake ya kupambana na msongo.
Tushirikishane uzoefu. Huenda ushauri wako ukawa...
Natoa wito kwa CAF kuwa ijitafakari sana, Tanzania sio salama kama wanavyodhani, ni katika nchi hii tumeshuhudia watu wakitekwa na kupotezwa na miongoni mwao ni aliyekuwa mteule wa Rais. Hii ni...
Ni kwa mara nyingine naliomba Jeshi la Polisi ndani ya mji wa Bunda kukamata hiki kikosi kazi kinachojihusisha na uhalifu, uporaji na udhalilishaji wanawake.
Hili ni janga na lisipodhibitiwa...
Naomba kuwasilisha kero inayowakabili wakazi wa Ngarenaro, Kambi ya Fisi na maeneo mengine ya Jiji la Arusha.
Baadhi ya garage na mabasi ya abiria yamekuwa yakitumia service roads kama maegesho...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeeleza wasiwasi wake kuhusu kukamatwa kwa wahadhiri watatu wa vyuo vikuu, huku mmoja wao akifunguliwa kesi ya ugaidi na wengine wawili...
Basi linalomilikiwa na kampuni ya Kandahari limegongana uso kwa uso na lori lilikowa limebebe trela.
Lori lingine limeanguka pembeni.
Mamlaka husika zitoe msaada.
=========
Watu kadhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.