Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous
Kuna tabia ya kukata umeme ovyo kila mara kulikoni sehemu zingine tunaomba tanesco wachukue hatua maana kukatika ovyo kwa umeme imekua kero ya muda mrefu
2 Reactions
2 Replies
837 Views
Barabara ya kutoka Ibanda mpaka Kyela Mjini imegeuka kero kwa watumiaji kutokana na barabara hiyo kujaa mashimo ya muda mrefu, pia kumekuwa na matukio ya ajali zitokanazo na mashimo hayo...
0 Reactions
4 Replies
643 Views
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais (Baraza la Mawaziri Zambia) Prof. Lackson Kasonka atembelea banda la Tanzania katika Maonesho ya 98 ya kilimo na biashara Zambia, apongeza huduma za kibingwa na...
0 Reactions
0 Replies
61 Views
Kwa mnaofahamu Barbara hiyo tajwa hapo juu naombeni maoni yenu. Naona kama jamaa ninaotaka kufanya biashara NAO Wana maneno mengi , je Barbara ni lami , ina ubora Gani, vip usalama upo, sehemu...
1 Reactions
2 Replies
80 Views
Prof. Lackson Kasonka, Katibu Mkuu (SD) kutoka Ofisi ya Rais (Baraza la Mawaziri) Zambia, akipokea zawadi kutoka kwa Prof. Reuben Mutaganywa (Daktari Bingwa Mbobezi MOI) baada ya kutembelea banda...
1 Reactions
0 Replies
52 Views
Siku hizi mwanamke akienda sokoni akiwa ananunua matango akiyashika na kuchagua kubwa soko Zima macho kwake! 👀 👁️ Mtu ukienda kununua mafuta ya nazi unaenda kununua kwa kificho wakati unaenda...
6 Reactions
7 Replies
144 Views
Anonymous
Wakazi wa Mwenge TRA tumechoka na kero ya umeme kukatika kila siku, sometimes inaharibu hata shuguli za kupata riziki tumechoka kwa kweli. Soma Pia: Wakazi wa Ulongoni A, Kinyerezi tuna...
2 Reactions
2 Replies
480 Views
Mtandao wa barabara nchi uko hatarini. Kote unakoweza kupita barabara za lami zimeanza kubomoka kwa kasi ya kutisha. Shughuli zangu zinanifanya kutembea sehemu nyingi nchi, kw gari...
28 Reactions
63 Replies
3K Views
Wakuu hi barabara tunasubiri Nini Kuitanua? Niliona kafulila kamfurusha Mbia ambaye alitaka Kufanya huu mradi na Serikali Kwa mode PPI ajenge halafu a impose Toll fee, Baada ya Kuongea vile...
3 Reactions
14 Replies
301 Views
Nina muda wa takribani miaka 10 sijapita barabara ya Mwanza–Mara, lakini sasa nimeipita. Ebwana wee! 🤔 Kuanzia Kisesa, Magu hadi Ramadi, barabara imeharibika kiasi cha kuonekana kama...
11 Reactions
42 Replies
754 Views
Eti wakuu, mnamuona huyu konda? Kumbe inawezekana tu wakavaa vizuri ila huwa wanavaa kama vile hawajitaki, unakuta hata wakivaa zile sare zao wanavaa ilmradi tu.
3 Reactions
1 Replies
207 Views
Anonymous
Hii ni Barabara Kuu ya kutoka Mwanza hadi Arusha, nimepita hapo hilo ni eneo la Katesh Mjini Wilayani Hanang Mkoani Manyara, magari yameamua kuacha kupita kwenye lami yanapita kwenye Barabara ya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Anonymous
Barabara ya Singida–Babati–Arusha ina mashimo mengi na hali yake ni mbaya. Wahusika, je, mnaliona hili? Tunaomba mlifanyie kazi kwani hali ni mbaya. ~ TANROADS: Tunaendelea na matengenezo...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wezi wa simu na porch kuna namna wapo connected na mawakala wa pesa mitaani na hawa mawakala wana watu wao inside kwenye mitandao hii tunayoiamini so mitandao ya simu sijui bank siyo wa kuwaamini...
2 Reactions
4 Replies
178 Views
Kuna mtu ameshitaki airtel na kuifungia namba ya mtumiaji wa airtel ilihali mwenye namba ndie mmiliki nmhalali na ndie aliesajilia NIDA namba yake airtel Tanzani naombeni majibu tafadhali
1 Reactions
14 Replies
166 Views
Mshahara laki tano PAYE na HESLB vinanimaliza, chumba elfu 50 kwa mwezi kimsingi kabla ya mwezi kuisha sina kitu mikopo inaniokoa.
2 Reactions
5 Replies
97 Views
Ninayo masikitiko makubwa kuwataarifu msiba wa mwenzetu Erick Kalemela uliotokea nchini India jana tar 23 Mei 2022 saa 3 asubuhi majira ya India, alipokuwa anapokea matibabu. Mwili unatarajiwa...
34 Reactions
184 Replies
16K Views
Najiuliza hakuna namna ya kufanya matengenezo kwa awamu ili basi Tanesco mkate umeme walau kwa saa nne na siku inayofuata mkafanya tena hivyo? Hamjui au ni kwamba hamjali kwamba kuna watu ambao...
2 Reactions
15 Replies
290 Views
Kuweka mizengwe hakukusaidia tension iliyokuwepo already.... Wananchi wamebaki resentful kwa sababu ili serve kama reminder kuwa wako powerless hata pale rights zao zinapokuwa violated....(right...
0 Reactions
0 Replies
49 Views
Back
Top Bottom