Natumia nafasi hii kutoa mrejesho wa hoja iliyowasilishwa jukwaani kuhusu kero zilizokuwa zikijitokeza kufuatia kusitishwa kwa huduma za vyoo katika Kituo cha Mwendokasi Kivukoni.
Baada ya zoezi...
Ni uzi nilioandika muda mchache uliopita ila ni mwaka huu, kwa hiyo "Leo" haimaanishi siku ya leo ila ni kwa siku tuliyokutana
Huyu jamaa tulikuwa hatujazoeana sana enzi za shule. Ndie alikuwa...
Ofisi za Ardhi wilaya ya Mwanga mkoa wa Kilimanjaro, wameshindwa kusimamia vyema huduma ya kurasimisha viwanja.
Nilienda kwa ajili ya kuhitaji huduma hiyo mwaka 2023 mwezi wa 3 wakanielekeza...
Kero yangu ni ujenzi holela unaoendelea maeneo ya Kariakoo, mamlaka zifanye ziara za kushtukiza, maeneo mengi mafundi wako ghorofa ya 8 au yoyote ile ya juu lakini kuwakuta wakiwa hawana vifaa vya...
Wakuu, naomba mlifuatilie suala hili, mimi ni mgonjwa ninayepatiwa matibabu katika Taasisi ya Mifupa-MOI.
Kuna changamoto kubwa katika idara ya Radiolojia, hasa kuhusu kuchelewa kwa majibu ya...
Nawasalimu,
Nawasilisha malalamiko kuhusu hali mbaya ya barabara ya Pangani–Machinjio Mapya.
Barabara hiyo imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu na haijawahi kufanyiwa matengenezo kwa kutumia...
Serikali iliahidi kuanzisha bima ya afya kwa wote ndani ya siku mia moja ya awamu ya sita.
Mwanzoni mwa mwaka huu nilisikia kwamba zoezi hilo limeanza kwa makundi maalumu na kaya masikini.
Hata...
Kwema wakuu,
Nasikia sauti ya milipuko maeneo ya Sinza, Shekilango au Ubungo, ni nini hii wakuu?
NB
Hata mwaka jana tarehe kama ya leo ilisikika pia...
Wakazi wa eneo la Itumbi, Mtaa wa Nghonghona jijini Dodoma, eneo ambalo lipo jirani na Hospitali ya Benjamin Mkapa. Tunaomba viongozi wa Serikali wafike katika eneo letu ili kusaidia kutatua...
SHEOL kwa kiebrania shimo refu lisilo na mwisho.
Kwa kiyunani imetafsiriwa kama neno HADES
kiingereza wametafsiri kama HELL
kiswahili wametafsiri kutoka kingereza kama KUZIMU
Hatima ya roho...
Kuna mshikaji miaka hiyo tuliKua hapo zenji jamaa akajiingiza kwenye mambo ya ubaharia.
sasa kachonga na mwana wangu Mmoja kampanga ampeleke Dubai au Oman, mshikaji atoe pesa tu kiasi kilicho...
Napata wasiwasi kwa mawakili na wanasheria wa serikali kwenye migogoro ya kimataifa asa kwenye maslai yetu (kwa apa ndani mfumo na janjajanja unawabeba)
Leo nilipata nilipata nafasi ya kutafakari habari kutoka Njombe kutoka katika mitandao ya kijamii
Mkuu wa Mkoa wa Njombe katika ujumbe ambao alikuwa anatoa alilielezea kisa cha kijana mmoja...
https://youtu.be/pfMiJk9pH4k?si=WpiEJixA5JZL34ZZ
zaburi 23
Hakika Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu msaada utakao onekana tele hata wakati wa mateso.
Mungu yeye ni nguvu zetu na wokovu wetu...
Kuna watu wawili Wa kwanza kila siku jioni lazima apige kakonyagi kadogo, almaarufu kasichana.Ni utaratibu wake tu Kabla ya kulala akiamua sometimes labda achambe koo na vi lite viwili kisha nduki...
Wanasema hitilafu kwamba ndani ya hayo masaa matano wamepata wametengeneza na kufunga kila kitu?
Hio hitilafu imetokea maeneo gani? Hao waangalia mitambo hawakujua tatizo hilo mapema ifike saa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.