Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni chuo kikubwa cha kiserikali kilichopo msamala songea hakuna kiongozi yoyote nchini asie kijua na kina na kina miaka zaidi ya 25 Ajabu ni kwamba kwenye matangazo yao wanadai wanatoa mafunzo ya...
1 Reactions
9 Replies
381 Views
Mrembo kutoka tasnia ya bongo land, poshy amedai Moja ya kitu wanawake wanapenda ni ile uwe na mwanaume muhuni kidogo tu kapanda abembelezi ajilizi lizi, yani hood boys. Ila msafi, sio kunuka...
1 Reactions
4 Replies
177 Views
Anonymous
Mimi kero yangu ni kwa hizi daladala zetu za Kigogo Fresh - Tandika kuwa na tabia ya kukatisha route...yaani mtu unalipa nauli mara mbili na wanaona ni halali yao kabisa... asubuhi wanaanzia...
1 Reactions
2 Replies
110 Views
Anonymous
Kuna malalamiko sana kuhusu nauli za dadadala mjini Arusha. Daladala zinatoza nauli Tshs 1000 badala ya nauli elekezi ya Tshs 700. Mamlaka zipo kimya kwenye hili. Simu zikipigwa hawapokei. Je...
1 Reactions
4 Replies
153 Views
Hivi unajua beach za Mafia hazina tofauti na za Zanzibar Kwa nini serikali isiwekeze kuitangaza Mafia kwa utalii at least pafanane kimaendeleo na Nungwi, Zanzibar Nilienda Nungwi mwaka jana...
7 Reactions
27 Replies
308 Views
Makebo makubwa yamekuwa njia ya utajiri siku hizi kwa hawa dada zetu. Makebo makubwa yanawapatia urahisi wa maisha na access ya vitu vya kifahari ingawa ana umri mdogo, kisomo kidogo na hata...
1 Reactions
1 Replies
79 Views
Haki ya Mungu tena nakwambia hili halitapita hivi hivi. Ni either umtafute na arudi akiwa hai au ulipe gharama ya uhai wake.
21 Reactions
41 Replies
764 Views
Anonymous
Daladala za Mawasiliano kwenda Masaki kwa asubuhi ni changamoto sana, unakuta watu wamejazana kituoni pale Mawasiliano, daladala zikija hazifiki mwisho wa Kituo, zinageuzia katikati na abiria...
2 Reactions
5 Replies
340 Views
Hili ni funzo kubwa sana katika maisha, kama kuna mtu kakuzidi uwezo nyoosha mikono kubali kwamba amebalikiwa. Badala ya kuanzisha ligi naye, jifunze kupitia kwake ili nawe uwe bora zaidi
7 Reactions
20 Replies
214 Views
Habari wana jamvi, Mimi ni kijana mwenye miaka (27) nlikua vizuri tangu nmehitimu chuo nlikua natrade forex ,kwa miaka mitatu sasa , ila upepo umejigeuka nmepata hasara kubwa ,na sasa Nina...
6 Reactions
99 Replies
1K Views
Wizara ya afya, ofisi ya mganga mkuu wilaya ya Sengerema, mkoa wa Mwanza, tunaomba taarifa kuhusu kinachoendelea katika kisiwa cha Lyakanyasi kutokana na ugonjwa ulioibuka na unaodaiwa kusababisha...
2 Reactions
0 Replies
79 Views
Maajabu ya Ubongo wa Binadamu 1. Hali ya Deja Vu: Hisia ya kushangaza kuwa tukio unaloliona sasa ulishawahi kuliishi huko nyuma, inayotokana na ubongo kuchelewa kupokea taarifa kwa sekunde chache...
18 Reactions
78 Replies
1K Views
Mnyabi kama manyabi naamini kwenye ubahili, kwa sisi wanyabi tunaojitafuta tufike level fulani huu ni unyama ambao nimehushuhudia. Una saka mafanikio , kaza kinouma , hii ni kwa watoto...
28 Reactions
88 Replies
747 Views
Maana unaweza kusema, "Ninakubalika." Sawa, lakini unakubalika na akina nani? Ni watu wa aina gani wanaokukubali? Kwa sababu si kila anayekukubali anaelewa hata maana ya kukukubali. Wengine...
9 Reactions
101 Replies
679 Views
Anonymous
Hili gari linatoza nauli tofauti na kilichoandikwa hapo, abiria ukilalamika wanasema mafuta yako juu, kwani sisi wananchi sauti zetu tuzipaze wapi? Kinyerezi hadi Mlimani City abiria unakatwa...
0 Reactions
2 Replies
155 Views
Democracy for Citizens Party (DCP) leader Rigathi Gachagua has blamed President William Ruto's administration for the relocation of the British Army Training Unit Kenya (BATUK) activities from...
1 Reactions
2 Replies
96 Views
Katika ulimwengu huu muishio wamatumbi mmekua nyumbu kwa sababu hamjui dhana kuu ya uwepo wenu... Mmekalia superficial things... Hamjui ya kuwa maisha ni mifumo, mnachojua ni kuwa hela ndo msingi...
11 Reactions
52 Replies
640 Views
Kwanini daladala zinazosafirisha abiria kutokea eneo la Gerezani / Shule ya msingi Uhuru kuelekea Temeke hususani Buza zinatoza nauli kubwa tofauti na bei elekezi ya serikali? Bei elekezi ya...
1 Reactions
1 Replies
154 Views
Anonymous
Daladala jijini Mbeya wamekua na tabia ya kufupisha ruti. Mfano kutoka Igawilo kwenda Stendi kuu, anaishia Kabwe/ Mwanjelwa.
2 Reactions
2 Replies
115 Views
Back
Top Bottom