Utafika umechoka sana, anyway sema siku hizi unashukia popote sio lazima ufikeKama upo emms bar kawe sogea karibu nikupe bia moja afu tusijuane coz hatujuani
mimi hata cjui pa kushukia coz stend zote zimebomolewaUtafika umechoka sana, anyway sema siku hizi unashukia popote sio lazima ufike
Mkuu kama bado unanywea bia baa tafuta sana pesa, sisi matajiri tuna counter zetu home. Joke