Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous (f266)
Kuna hii route ya Chamazi kwa Mapunda kuja Mbagala, hizi dalala zimeongeza nauli kutoka mia sita mpaka mia nane na haizidi kilometa hata nane kwa umbali huu. Licha ya SUMATRA kutaja bei elekezi...
0 Reactions
2 Replies
103 Views
Anonymous
Habarini wanaJF, Mimi ni mfanyakazi katika jiji hili la Arusha,ninaishi maeneo ya sakina silent inn huku kazi nafanyia Sanawari. Hapo kabla hata ya mamlaka zinazohusika (LATRA)kupandisha...
0 Reactions
2 Replies
167 Views
Anonymous
Daladala za Kisemvule - Gerezani zimekuwa kero, tangu nauli zimepanda Mei 1, 2026 haziji kituoni badala yake zinapaki kona ya Gold Star na nauli watu wanalipishwa sh 1,900 ukiifata kule kona swali...
0 Reactions
2 Replies
105 Views
Anonymous
Tunapata changamoto Magari ya Mbezi To Makumbusho Via Kimara Hayapakii Ruti Ya Makumbusho yanaishia Magomeni Ni Kero Kwa Abiria Wengi Ndani ya Stendi ya Mbezi Luis. Pia soma ~ LATRA: Tumeanza...
1 Reactions
4 Replies
158 Views
Kumekuwepo na changamoto ya baadhi ya daladala kusitisha route katika maeneo mengi nchini. Mwezi wa nne mwaka 2026 nilikaa Arusha kikazi kwa karibu mwezi mzima. Nilikuwa nakaa eneo la Atomic...
2 Reactions
4 Replies
183 Views
Anonymous
Kabla ya kupanda kwa mafuta nauli za daladala ilikuwa shilingi mia saba 700/= kwa abiria lakini kila ikifika jioni kuanzia saa 1 na kuendelea hupanda mpaka shilingi elfu moja 1000/=, kila abiria...
3 Reactions
17 Replies
525 Views
Kwanini daladala za Mbeya wanachukua nauli shs 1000 badala ya nauli halali ya shs 700-800. na wakati umbali hauzidi hata km 10 ?? Mfano kutoka Uyole hadi Kabwe au Mwanjelwa ni Km 7 lakin...
1 Reactions
4 Replies
180 Views
  • Redirect
1 Reactions
– Replies
– Views
Nyoka aina ya koboko anadaiwa kuweka kambi katika eneo la Mlimani City kata ya Ng'ambo manispaa ya Tabora ambapo amegeuka kuwa tishio la maisha kwa wananchi wa mtaa huo. Katika jitihada za...
49 Reactions
302 Replies
32K Views
Habari. Ujuzi gani ninaweza kumtqfutia mwanamke ukamsaidia kuingiza hela katika maisha ya sasa. At least 10000 per day.
8 Reactions
34 Replies
425 Views
Kwa nini Waafrika Wakristo wanaogopa kuwapa jina la Yesu watoto wao wa kiume? Ulaya, Marekani Kusini na Kaskazini watoto wanapewa Jina la Yesu, Waarabu na Waislamu wanawapa watoto jina la Issa...
1 Reactions
9 Replies
149 Views
Ukiangalia historia ya south africa na leo walipo ni ushaidi tosha jinsi walivyofanyiwa ndio wamefikia pale kama walivyo akili zao na maisha yao ya ajabu. Ukienda USA kuna tabia za watu weusi wa...
0 Reactions
2 Replies
62 Views
Yanapozidi moyoni inabidi kuyatoa hdharani.. Lakini katika kuyatoa hakikisha unakuwa makini kwakuwa mwisho wa siku inabidi ubaki kuwa wewe! Yatoe lakini kwa tahadhari kubwa kwakuwa privacy yako...
5 Reactions
12 Replies
185 Views
Nimekuja kugundua tatizo letu kubwa sisi kama taifa ni ujinga.. Wakati mataifa mengine yakijikuza kiteknolojia/maarifa/ujuzi kuendana na dunia ya sasa sisi tunafanya juhudi gani kama taifa? Ni...
2 Reactions
15 Replies
165 Views
Anonymous
Habari, Naomba kuwasilisha kero yangu kuhusu utaratibu wa utoaji wa ithibati kwa wanafunzi wanaohitimu shahada ya Mass Communication mwaka huu. Kwa sasa, hatuwezi kufanya kazi bila kuwa na...
1 Reactions
1 Replies
62 Views
Tunahitaji msaada kwa ninyi wataalamu wa leseni za usafirishaji wa abiria. Kwa sasa teknolojia imekuwa na mambo yamebadilika sana. SWALI: Je? Kuna uwezekano wa kupata leseni ya kubeba abiria...
1 Reactions
5 Replies
305 Views
Wadau habari zenu, Mimi sio mwanasiasa LAKINI naipenda nchi yangu na viongozi wake , nawapenda pia viongozi au wanasiasa wa upinzani ambao wana misimamo sio njaanjaa na ni wazalendo...
2 Reactions
26 Replies
211 Views
Hivi karibuni, Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line iliingiza nchini mabasi mapya yasiyopungua 50 kwa ajili ya matumizi ya barabara za nchi nzima. Mabasi hayo ni aina ya Yutong D 14 yaliyotengenezwa...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Natumia nafasi hii kutoa mrejesho wa hoja iliyowasilishwa jukwaani kuhusu kero zilizokuwa zikijitokeza kufuatia kusitishwa kwa huduma za vyoo katika Kituo cha Mwendokasi Kivukoni. Baada ya zoezi...
0 Reactions
3 Replies
97 Views
Back
Top Bottom