Taarifa za ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma TANAPA zimetajwa sana sana kila kona.
Ubadhirifu huo mkubwa unaofikia Shilingi zaidi ya bilioni 19, umefanyika katika kipindi cha uongozi wa Kamishna wa Uhifadhi aliyemaliza muda wake.
Ubadhirifu huo unazua maswali pia kuhusu umakini wa Bodi ya Wakurugenzi ya taasisi hiyo, Bodi ambayo imemaliza muda wake.
Pamoja na mambo mengine, sisi wafanyakazi wa TANAPA tunaomba CAG aje afanye ukaguzi maalumu (Special Audit) kwenye maeneo kadhaa.
Wakati wa uongozi uliopita, kwa kipindi kirefu alikuwa Mkuu wa shirika, na wakati huo Kamishna wa Fedha.
Katika kipindi hicho, yeye na aliyekuwa Mhandisi na baadaye Mkuu wa kampuni tanzu ya TANAPA, walisimamia na kutekeleza miradi mingi.
Katika miradi ikiwa ya ujenzi wa viwanja vya ndege, mageti makubwa kwa ajili ya kupokea wageni, nyumba za Wafanyakazi, Uwanja wa gofu Serengeti, ununuzi wa vifaa kwa ajili ya ukarabati wa barabara hasa Serengeti na mengineyo.
Katika miradi hii kuna taarifa za upigaji mkubwa sana sana.
Tunaomba CAG uje ukague hii miradi.
Wenzenu katika ujenzi wa Taifa.