Nestory Semeni
Member
- Jul 8, 2024
- 13
- 21
Jana nilikaa na kaka mmoja hv na kuongea kuhusu maisha,
Na katika hiki na kile nikamwambia kuhusu changamoto fulani hiv ndogo,
Lakini badala ya kupata ushauri ni kama nilikuwa nimefungua koki kwake,
Naye akaanza kutoa lawama na kwa nini flan na flan wapo vile,
Mh! Mwisho nikajiona nimeomba ushauri kwa mtu asiye sahihi,
Na hapa ndio nimekumbuka makosa ambayo wengi tunafanya hasa pale tunakutana na mambo magumu,
Kwanza kabisa,
Ni kuamini kwamba "Mtu sahihi ndiye atatusaidia kutatua matatizo yetu"
Na hivyoo kujiuliza "Nani alipitia tatizo kama langu?"
Hicho kinakuwa kigezo cha mtu sahihi,
Na mara moja anatafutwa na kuulizwa "yani unamwaga yoooooote kwake na bado hakuna msaada"
Lakini haukujiuliza,
Je huyu mtu anajua ni kwanini alishinda changamoto hii?
Je haikuwa ni bahati tu kwamba alishinda?
Ujue hiki kuna watu sawa walipitia ugumu na wakashinda
Lakini ukiwauliza hata wao hawajui ni kwa nini na watabaki tu kusema "Pambana"
"Usikate tamaa"
"Mungu atakusaidi"
Ukiwauliza kwa undani ufanyeje kutoka hata wao hawajui,
Na zaidi ni hiki,
"Je walipitia hali hiyo hiyo kama yako?"
Yaani jinsi ambavyo wewe unadaiwa na nyumba inakaribia kuuzwa na biashara ndiyo haieleweki
Je na wao walipitia hali kama hiyo?
Ushauri ambao mtu ambaye alikuwa anadaiwa mikopo ya chuoni na alilipa deni lote kwa kukatwa mshahara
Kamwe hautokusaidia wewe hata kama uulize mara ngapi
Na usikilize kwa makini vipi yite ni kwa sababu "hakupitia hali kama yako"
Mwisho,
Kutafuta ushauri zaidi "kwa mambo yanayohitaji uwajibikaji binafsi"
Ushauri mwingi hautaleta mabadiliko,
Ila ni ile hali ya kuwajibika na kuchukua hatua
Kupata ushauri kunaleta raha fulani kama vile unapiga hatua lakini
Kamwe hakuondoi wajibu
Ni lazima uamke na kuchukua hatua.
Mtumie ujumbe huu yule unayempenda.
Tukutane Kesho ❤️✊️💪