Kwa wale wanaojitafuta🤔🤔🤔

Kwa wale wanaojitafuta🤔🤔🤔

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
57,475
Reaction score
164,486
Mnyabi kama manyabi naamini kwenye ubahili, kwa sisi wanyabi tunaojitafuta tufike level fulani huu ni unyama ambao nimehushuhudia.

Una saka mafanikio , kaza kinouma , hii ni kwa watoto wa mbwa kama mimi🤔.

Kula ndazi la buku na maji ya jero ,hauwezi kufa ,piga nyeto ,ukishindwa tafuta wa level ya pesa yako , halafu mshawishi uichape kichakani kwa wivu mkubwa🤔, dume kondom ni 1000 ,cha chapu kiaskari ni dakika 5 , unaepuka ukimwi fala wewe, isitoshe unaokoa na mda , kimbia kama baiskeli ya wizi , fanya yako.
 
Hujaujua upwiru mkuu akili huwa inahama. Hivi siku hizi bado kuna mapenzi ya vichakani? Kwa vichaka vipi?

Ukiwa unajitafuta jitahidi sana kutuliza akili kwenye utafutaji ukijichanganya tu na haya mambo mengine utakuwa unafanya kazi ya kupiga hatua 5 mbele na kurudi hatua 10 nyuma.
NB: Matumizi ya kinga ni muhimu sana kama kuvumilia itashindikana.
 
Bwashee kama umetokea familia ya watoto wa mbwa kama mimi utaelewa kuhusu nguvu ya kuwa bahili, ila pombe usiache
 
Back
Top Bottom