Poromoro la kisiasa la ndugu nchimbi kutoka umakamu hadi kuwa raia wa kawaida asiye na chama kuna mambo mengi ya kujifunza kwa viongozi waliobaki:
1. Cheo ni dhamana au ni sawa na koti la kuazima...
Inadaiwa kuwa tarehe 22 Julai 2026, jijini Dubai, Spika, wabunge, Waziri wa Uchumi Mbalawa pamoja na mtoto wa Rais Samia Abdul, wakifuatana na wabunge wengine takribani 25, walihudhuria shughuli...
"Ninaitwa Eza Ashindikene. Kwa sasa ninaishi Mkoa wa Pwani, Wilaya ya Mkuranga.
Mwaka 2025, wakati wa uchaguzi Mkuu Tanzania, nilipata nafasi ya kuandika nyimbo kama msanii kwa ajili ya kuunga...
Miaka 7 iliyopita nipitia katika changamoto kubwa ya mahusiano yangu na Mungu.
Katika kipindi hicho chote Mungu alikuwa mwaminifu katika maisha yangu , mambo mengi ambayo hata sikuyaomba Mungu...
Habari wana JF, Mi ni ke 24 yrs nina degree na nipo DSM.
Naombeni mnisaidie mawazo na ushauri je, naweza kufanya mishe gani ya halali hapa DSM ambayo inaweza kuniingizia 20k daily?
Uwinga saivi...
*KATIBA inaweka sharti kwamba makamu wa Rais awe na sifa za kikatiba ikiwemo swala la uanachama wa chama Cha siasa
*Mh nchibi aliandika kwamba kujiuzuru kwake kuanze tarehe 4 September na Rais...
You’re about to overcome something you’ve been dealing with. Your mind and heart will soon be at peace again. You’re going to start feeling lighter. Things are about to get clear. Breathe through...
Boda wana hela sana kwa siku wanaingiza pesa nyingi sana ushahidi upo kwenye mahojiano na vyombo vya habari wamesikika waking'aka kujenga majumba, kusomesha watoto shule Bora kabisa na kuwashangaa...
Ndugu Wananchi wenzangu wanaoumia,
Nimesimama mbele yenu kusema ukweli mchungu unaofichwa kwa nguvu nyuma ya propaganda za kisiasa.
Taifa letu haliongozwi tena kwa misingi ya sheria wala Katiba...
Haka kazee ketu , kanaonekana kapole , kastaarabu , Tena kazuri kenyewe kamenona na hakana shida na mtu.
Ila sasa ngoja kafungue mdomo wake kaanze kumwaga sera zake ,ndipo utajua ubaya wa njaa...
"Ukikimbia kuingia chumbani, wanakichoma moto," anasema Fatima, akielezea shambulio la hivi karibuni katika kijiji chake Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria. "Ukitoka nje na kuanza kukimbia...
Nimeona video clip ambayo muheshimiwa waziri Kabudi anazungumza nia ya wizara yake kusimamia mchakato wa kuufanya mziki wa SINGELI kuwa mziki rasmi wa kuitambulisha Tanzania jambo ambalo sio...
Link-Mgunduzi wa kipimo cha HIV(PCR), Prof.Kary Mullis hakubaliani kwamba HIV anasababisha AIDS: na Anasema hata Kipimo chake hakiwezi kumwona HIV .
Njoo kwa madaktari wa kibongo sasa 🤣🤣🤣...
Kuna haja ya kutathmini upya ubora wa elimu inayotolewa na vyuo vyetu vingi vya kati na vya juu. Tumekuwa na utaratibu wa kuamini kuwa kijana anapomaliza chuo anakuwa mtaalamu aliyekamilika...
Ameandika Juma Kiaramba na hapa namnukuu
"Namshukuru Waziri wa Uchukuzi Mh. Prof. Makame Mbarawa (Mb) kwa imani kubwa kwangu kuniteua kuwa mjumbe wa baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za...
Maisha ni technique, hakuna roho yoyote inayoendesha maisha yenu ya kuwasaidia katika tabu au kuwaadhibu wanaowafanyia vita
Maisha ya mshindi ndugu zangu, aliejaa juu ndio anatunga sheria, hakuna...