Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwanamume mwenye umri wa miaka 26 nchini Wales amekamatwa baada ya mamlaka kusema alipanda juu ya paa la hospitali akiwa amevaa mavazi yanayofanana na “Grim Reaper” (Mtoa Roho) na akasimama kimya...
0 Reactions
0 Replies
73 Views
Anonymous
Suala la kadi za Mwendokasi now zimekuwa kero hazipatikani, raia wengi wana uhitaji nazo, Matumaini yangu kama JamiiForums watalizungumzia naamini mamlaka husika litalifanyia kazi kwa wakati🙏...
0 Reactions
3 Replies
148 Views
Kamati ya Wamiliki wa Nyumba Sinza inaendelea kusisitiza kuwa haipingi maendeleo wala uendelezaji wa eneo la Sinza. Hata hivyo, tunaamini mchakato huu unapaswa kufanyika kwa kuzingatia sheria...
0 Reactions
4 Replies
251 Views
Na wengine nao wapate nafasi. maana sio poa.
3 Reactions
14 Replies
250 Views
Kesi ishakua ngumu 🤦‍♀️ Wenye uzoefu wa tabia, sifa na hulka za haya makabila mawili naomba mnijuze maana ……………..
13 Reactions
101 Replies
3K Views
Mara nyingi utasikia watu hasa viongozi wakisema elimu ya Tanzania imeboreka.Kipi kinaangaliwa?
0 Reactions
1 Replies
51 Views
Mimi huwa naangalia mada zinazonigusa hisia kwa siku husika au muda husika wenye tukio husika mfano kama siku nimeamka nina hisia na mpira basi siku hiyo mada nitazozipa kipaumbele ni za mpira...
1 Reactions
17 Replies
165 Views
Anonymous
KUNA SUALA LA WANAFUNZI KUOMBA MKOPO WA ELIMU YA JUU WANAAMBIWA BILA KUWA NA NaPA (National Physical Addressing) - Anuani ya Makazi hawawezi kuendelea na kufanya maombi na ukienda kufuatilia hiyo...
0 Reactions
13 Replies
828 Views
Habari Hatukatai kwamba kwa sasa serikali inafanya mambo mengi ambayo wananchi hawayafurahii na kiwango cha uungwaji mkono ni kidogo sana kulingana na aina ya utawala uliopo Matukio mengi...
2 Reactions
21 Replies
504 Views
Hakika ubinadamu ni kazi sana. Tunatamani pesa ila tukiipata tu naona haina maana. Tunapenda wanawake wazuri, ila tukichapiwa tunasahau ni kwa sababu kuna mtu anadau zaidi yetu. Wanawake nao...
9 Reactions
34 Replies
352 Views
Tanzania inatarajiwa kuingiza zaidi ya Sh bilioni 10 kutokana na mauzo ya biashara ya kaboni baada ya Serikali kuidhinisha miradi minne itakayouza tani milioni 4.2 za kaboni katika soko rasmi la...
0 Reactions
0 Replies
59 Views
Anonymous
Tunaopata huduma hospitali ya wilaya ya Mpimbwe tunatozwa fedha za huduma na risiti tunapewa lakini huduma zao ni mbovu sana. Hawana hata gloves za kutuhudumia mpaka mgonjwa akanunue nje, dawa...
0 Reactions
0 Replies
116 Views
Hi wana Jf, Nimejaribu kuchunguza hasa hizo nchi zetu za Africa hususani (East Africa) limekuwa ni jambo la kawaida kukuta kijana ana miaka takribani 30 na bado anaishi kwa wazazi wake bila aibu...
35 Reactions
211 Replies
35K Views
Habari za hasubuhi? Huyu binti anaitwa Rachel dangwa anatakiwa apatikane na arejeshwe nchini ashitakiwe. Sote tunaona nchi yetu kwa sasa inavyoendeshwa, Maisha ni magumu, Wananchi hasa wa hali...
7 Reactions
25 Replies
700 Views
Zaman usiku mmoja ilikuwa inakula point 35 Naona kadri siku zinavyokwenda matumizi yanapanda. Hakuna tv wala pasi wala sabufa ni nyumba tu ambayo nimeijenga kwaajili ya dharura na hakai mtu, na...
1 Reactions
17 Replies
456 Views
Kiukweli mimi ata kukojoa tu mtihani kwakweli na hua nahisi kama abilia wenzangu wanashuhudia tukio langu la faragha
0 Reactions
7 Replies
154 Views
Hii idadi ni kubwa sana nataman wote wawe wanachama wa JF na wasiwe wapita njia
5 Reactions
11 Replies
170 Views
Back
Top Bottom