Mt Secilia Makuburi punguzeni kutoa hits kila kukicha.

Mt Secilia Makuburi punguzeni kutoa hits kila kukicha.

Mimi hofi yangu mziki katoliki unaanza taratibu kuingia kwenye engo ya biashara?
Uko sahihi. Na kwa utaratibu wa kiuchumi; biashara ni mashindano. Tena Yesu aliwahi kugusia biashara pale alipowambia kijana mmoja tajiri i.e. mwenye navyo Yesu akamwambia, “Ukitaka kuwa mkamilifu, nenda, ukauze vitu vyote ulivyo navyo, na hizo fedha uwape maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni.
Kwa mantiki hiyo; Hao secilia walichonacho ni muziki. Yesu anawaambia uzeni muziki wenu mlete sadaka madhabahuni (ref. Malaki 3:10). Vijana wako vizuri ndani ya maelekezo ya kibiblia.
 
Mimi hofi yangu mziki katoliki unaanza taratibu kuingia kwenye engo ya biashara?
Ni siku nyingi mbona,katika cycle inayowezesha jamii kufikiwa na hii hudumu hapo kati kuna watu wapo kibiashara.
Ndio maana baadhi hata ladha wanaibadili!
 
Thread ya kijinga hii ndo akina nani hao?
Huku Bulongwa hatuwafahamu hao
Tunawafatiliia mt sesilia mavurunza na st joseph dsm
 
Haitakuwa rahisiiiii, Kulitangaza nenoooo, kwani Shetani yupoooo, anavizia viziaaaaa.

Tumaini letu kwako bwana, Tegemeo letu.

😄😄
 
Natamani lile tamasha la Mkatoliki lizunguke na mikoani.. ile Kwaya inajua bana..
Nyie wa huko hamjui vya huku Umasaini ndani ndani. Njooni huku mkashuhudie wenyewe mambo yako huku japokuwa hatuko kibiashara. Tupo kiinjili zaidi.
 
Kutumia gitaa nyimbo za kikatoliki ni kosa?
 
Back
Top Bottom