Kuongozekea kwa ajali nani alaumiwe?

Kuongozekea kwa ajali nani alaumiwe?

Soul21

Senior Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
194
Reaction score
329
KUONGEZEKA KWA AJALI, NANI ALAUMIWE?
Kwanza natoa pole kwa ndugu na jamaa waliopoteza ndugu zao kupitia ajali za barabarani huku nukitambu kiasi gani watoto wamebaki yatima, wajane na pia wazazi kupoteza watoto wao bila kusahau ndugu pia.

Mwezi wa kumi na mbili mpaka Januari polisi waliongeza usimamizi na ukaguzi wa kiwango cha hali ya juu, na kama unakumbua haliyo hiyo ilisaidia kupungua na hata kutoripotiwa kwa jali nyingi.

Je, ajali za sasa ni kupungua kwa usimamizi wa jeshi la posili?
Je, ni adhabu dhaifu barabarani zimechangia ongezeko hili?

Hapa Tanzania tumekuwa na madarasa ya udereva mengi mno nahisi wanatoa elimu dhaifu sana. Nimefuatili pia na kugundua nchi za wenzetu ili kupata leseni mfano Marekani inachukua si chini ya miaka miwili ukiwa unapikwa na majaribio mengi kwa sababu wanatumbua unaenda kubeba uhai wa watu wengi.

Naendelea kusema hivi kwa sababu magari madogo hasa namba E yanayoendeshwa na vijana ndio yanayoongoza kwa ajali.

Ndipo nimefuatilia na kugundua kuwa, watu wengi wamepata leseni kwa kutoa rushwa bila kuwa na elimu pana kuhusu barabarani.

Pia udhaifu wa sheria zetu ambazo pale adhabu zinapokuwa kali wananchi wakilalamika serikali inalegeza kamba mfano mtu mlevi hapaswi tu kupigwa faini pia lazima anyanganywe leseni na hata kufungiwa kuendesha gari kwa muda fula na ikiwezekana arudi shule upya.

Jambo lingine, huruma kwa hawa vijana wa bodaboda si malezi, faini iwe kali kwa sababu ndio wimbi linaloangamia na pia kusababisha ajali hovyo. Huruma si malezi lazima taifa liwe na sheria nasi matamko ya kiasa ili kulinda kura na mfano mzuri wa sheria kali ni Rwanda kwa sababu wametambua thamani ya uhai wa vijana na nguvu kazi ya taifa

Mapendekezo,
1. Muda wa kuapata leseni uongezwe tena chini ya mitihani na vitendo vikali vya uendeshaji
2. Adhabu ziwe kali mno hasa kwa walevi na wasiofuta sheria. Hata kwa bodaboda wanyanganywe elementi.
3. Abiria wazinduke kifikra na wasifumbue uhalifu wa dereva anaendesha hovyo

Wadau
  • Vaa mkanda wa usalama (seatbelt) kila wakati.
  • Usiongee kwa simu ukiwa unaendesha.
  • Fuata mwendo kasi unaoruhusiwa.
  • Usiendeshe ukiwa umelewa au umechoka sana.
  • Vuka barabara mahali salama na uangalie pande zote.
  • Madereva wa pikipiki na baiskeli wavae kofia ngumu (helmet).
  • Epuka kupita magari kwa kasi bila kuangalia.
Mheshimiwa Katambi natumaini umeona maafa haya toka Januari mpaka sasa naomba fadhia kazi naelewa watanzani kinachotuumiza ni ugonjwa wa fikra na kulalamika sana ila lazima taifa lieleweke aidha kwa kutaka au kutokutaka.

Asante sana.
 
Bongo mtu anajifunza kuendesha gari kwa wiki mbili uwanja wa fisi, wiki ya tatu yupo barabara kuu ya kuelekea Chalinze, lazima tuhitaji mabadiliko ya mfumo mzima wa elimu, sio haya madarasa ya mchongo yanayolenga kutengeneza faida badala ya madereva bora.

Na hili suala la madereva kukamatwa road, then wanapigwa faini sijui 30-50 nalo ni tatizo, weka faini ya kuanzia laki tano na jela miezi sita uone huu ujinga wa madereva barabarani kama hautopungua.
 
Chanzo kikubwa cha ajili ni barabara finyu na mbovu na usimamizi mbaya wa madereva na vyombo vya moto

Nchi zilizoendelea magari hayapishani kwenye highways, ni hatari sana kupishana wote mkiwa above 120KPH
 
Tuwalaumu watoza ushuru barabarani,wakisha toza buku,buku mbili,ama wakizingua tano hadi kumi kulingana na ukubwa wakosa ndiyo tiketi zenyewe za ongezeko la ajali.
 
Uwepo wa vyombo vya moto , watu waendelee kufa kwani kila mtu atakufa . Tatizo ni kupata ulemavu wa kudumu ila kiufa fresh tu .
 
Bongo mtu anajifunza kuendesha gari kwa wiki mbili uwanja wa fisi, wiki ya tatu yupo barabara kuu ya kuelekea Chalinze, lazima tuhitaji mabadiliko ya mfumo mzima wa elimu, sio haya madarasa ya mchongo yanayolenga kutengeneza faida badala ya madereva bora.

Na hili suala la madereva kukamatwa road, then wanapigwa faini sijui 30-50 nalo ni tatizo, weka faini ya kuanzia laki tano na jela miezi sita uone huu ujinga wa madereva barabarani kama hautopungua.
Hakuna haja ya faini
Hata hiyo laki 5 bado wataweza kulipa.
Dawa yake ni kufungia leseni daima isifanye kazi.
 
Hii ni kazi bure kwa sababu mfumo wetu wa data hauko integrated. Ukimfungia kesho anaenda mamlaka nyingine anatoa rushwa na kutengeneza leseni mpya kwa jina tofauti.
 
Back
Top Bottom