Ukianza kufanya uchunguz kwa umakini utaona hii ajali inafanana na ile ya Indonesia, na model ya ndege ni ile ile , hivyo tatizo lipo kwenye ndege hizi Boeing 737
Moja ya mataizo makubwa kwa...
Kwa mujibu wa wakristo wayahudu ni makafiri Kwa sababu wamemkana Mungu wao Yesu
Wayahudu Yesu hawafuati Maneno yake Wala hawamuamini tena wanamuita mtoto wa zinaa hivyo basi Myahudi yoyote mbele...
Mara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania.
Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema:
"THIS IS CAPTAIN...
Ni wachache sana ambao wanapokea simu yeyote ngeni bila kuogopa
Ni wachache sana wanaopewa appointment wakaenda bila hofu
Ni wachache Sana wasiokuwa na wasiwasi endapo jamaa zao wakichelewa...
Ni mara nyingi sana mtu unabaguliwa lakini basi tu. Yaani unapanda treni ya mwendo kasi ukikaa kwenye siti wanahama wote. Nimejisikia vibaya sana aisee.
Ni zaid ya kunyanyapaliwa
China inasafiwa kwa kupiga hatua kubwa za maendeleo ya kiuchumi lakini inaisfiwa zaidi kwa hatua kubwa na za haraka za uchumi na maendeleo yaliyomaliza umasikini wa watu wake hadi kuwa china ya...
Kuwa na Nywele Fupi au Ndefu Kwenye Ibada kwa Jinsia Zote Mbili
Kumekuwepo dhana mbalimbali kuhusu hali ya nywele, wakati wa ibada. Majibu ya dhana hizo yanapatikana kwenye maandiko.
JINSIA YA...
Mnamo tarehe 24 July 2026, mimi na mfanyakazi mwenzangu tulifanya malipo ya tiketi za SGR kupitia M-Pesa kwa kutumia control number tulizopewa.
Fedha ziliondolewa kwenye akaunti zetu, lakini...
Kwa kweli ujenzi unafanyika pamoja na hali kuwa ngumu lakini ukitoka nje ya mji kidogo sites huku materilas yanasambazwa hadi unajiuliza hawa wennye sites zao hela wanapata wapi au...
Tengeneza fikra ya kujiona wewe ndio jua na kila kitu kinakuzunguka wewe
Fanya kazi
Wekeza kwa uwezo wako
Epuka migogoro
Tabu na mateso yapo hata ufanye nini
LAzima kwa namna yoyotw tamaa...
Oyaa sikia.. wapi mwanangu dosho12 salimia sana mwanangu Harmful oya we Harmful salimia sana mwanangu Noma, Noma.. Nomadix
Awee shem langu Ms R salimia sana mtotomzuriwa kuitwa waifu material...
Mfano kama mke wako ni MOD wa JF, alafu kijamaa chake ni member humu,
wewe father house utakagua simu yote ila wapi hauwezi kuta kitu, kumbe ndugu MOD anawasiliana na kijana wake wa JF na...
Karibu utembelee Banda la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) katika Viwanja vya Nanenane Njiro, jijini Arusha yanapofanyika maonesho ya 32ya Kilimo maarufu kama NaneNane yakiwa na Kauli mbiu...
Waziri Ridhiwani Kikwete alitangaza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, ametoa vibali vya kupandishwa madaraja na vyeo kwa watumishi wa umma waliokidhi vigezo...
Actually mi nasikiliza mziki wowote mzuri ila 95% ya nyimbo ninazosikiliza ni kutoka Marekani na Tanzania
Kwa hapa Tanzania nasikiliza Bongo Flava, na singeli chache sana
Kuna stereotype...
Habari wadau,
Nianze na mzizi wa umaskini unatoka wapi: Na mzizi wa umaskini haupo katika aina ya kazi, haipo katika chanzo cha kipato. Uhusiano kati ya unachotengeneza na unachokitumia ndio...
Habari za muda huu,
Wakazi wa Mzinga, Kongowe, Toangoma, Vikindu na Kisemvule ambao ni watumiaji wakubwa wa barabara ya Kilwa (Kilwa Road) tumekuwa tunakumbana na changamoto ya VUMBI ambalo...
Mkurugenzi wa Vodacom Business Nguvu Kamando, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu msimu mpya wa msafara wa Nyerere Cycling Tour (zamani Twende Butiama) utakaozinduliwa mnamo mwezi wa kumi...
Kuishi na wanadamu ni sanaa inayohitaji akili kubwa ya mtaani. Ukikosa hekima ya kutambua jinsi akili za watu zinavyofanya kazi, utajikuta kila siku unavunjwa moyo, unatumika, au unashushwa...