britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Ukianza kufanya uchunguz kwa umakini utaona hii ajali inafanana na ile ya Indonesia, na model ya ndege ni ile ile , hivyo tatizo lipo kwenye ndege hizi Boeing 737
Moja ya mataizo makubwa kwa Boeing 737 max ni angle of attack stability na hii ilisababishwa na maamuzi ya kufunga engine kubwa kidogo zaidi ya 737-800. Kwa ajiri ya fuel efficiency na hapo ndipo balaa lilipoanzia, walilazimika kufanya modifications kwa kusogeza hizo engine mbele kidogo na hivyo kuathiri center of gravitation ability, na ndipo walipo amua kufunga mfumo unao itwa, maneuvering characteristics augmentation systems (MCAS) with anti stall system software ambayo inaweza ku command ndege kwenda chini au juu ikiwa sensors zake zitasoma kuna tatizo bila pilot kuwa na habari, mbaya zaidi pilots cannot override it easier
hivyo basi hawana budi kurekebisha
Boeing 737 max ina matatizo matatu wanaitaji warekebishe.
1.Angle attack ambao inasumbuliwa baada ya kuweka engine kubwa kuliko ndege yenyewe.
2.Geographical monitoring sensors(GMS)Hizi ndo walizokosea kabisa kwani inamfanya rubani kushindwa kuzihimili thats why ndege zote aina hizi zinapopita altitude over 0.32 huwa zinatetema au hata mashine kuripuka moto warekebishe
3.force of gravity negativiation sensor(FGNS)Hizi ni sensor flani zilipo ndani ya ndege aina zote zinazo ruka angani,ndege kabla haijapaa angani lazima iwe na mwendo wa 500km per 4 minute na wakati huo inabidi isome Negative and speed is controlled sasa hawa wa boing 737 max unakuta ndege tayari iko angani then inasoma information is down the of speed kitu kinachosababisha rubani kupunguza mwendo apate line rate ya air plane hapo ndo utata huanzia ndege kupanda na kushuka then lazima ianguke.
Nina imani kampuni na shirika la hizi ndege wanajua na wanafuatilia soon watarekebisha
Kwa kifupi naona kama vile hawa Boeing wajanja wajanja sana wanaweza kujifanya kuwa labda ajali haijasababishwa na wao kumbe ni namna mbaya ambayo wametengeneza ndege zao, ili kulinda ama kukwepa kulipa fidia na kulinda image ya kampuni yao,
Hii inatufundisha nini kama sisi Watanzania na Nchi nyingine ambazo ni maskini achilia mbali hao wanaojiweza,
Ni vema sana kununua matoleo ya ndege muundo ambao watu wameshautumia kwa kipindi cha miaka kadhaa ili kuona kwanza linauimara au mapungufu yapi, Sitoi lawama yeyote kwa Ethiopia kununua ndege hizo, bali natoa pole kwakuwa hawakujua suala kama litatokea hivi,
Haya ni maoni yangu ambayo ndo asilimia kubwa kisababishi cha ajali,
Habari hizi za uchunguzi mara nyingi usubiriwa kupatikana kwenye Black box ambayo niliwai kuifafanua hapa chini
Tujifunze ya ndege: Hiki ndicho Kisanduku cheusi cha mawasiliano kila ndege ipatapo hitilafu au kuanguka huwa kinakitafuta - JamiiForums
Britanicca
cc barafu Mbase1970 The Monk Cajojo Khan