Nimekutayarishia tafsiri ya Kiswahili sanifu, rahisi kueleweka na yenye mtiririko mzuri:
Writing
Irene Gakwa alikuwa na umri wa miaka 32. Alizaliwa na kukulia karibu na jiji la Nairobi, Kenya...
Ukifika Mbeya Mjini kuna eneo linaitwa Forest Mpya.
Siku za nyuma eneo hilo lilijulikana tu kama Forest kwa kuwa kulikuwa na msitu mkubwa sana wa miti ya milingoti ambayo Kama huijui ni miti...
Ninawasilisha malalamiko yangu rasmi kuhusu huduma ya Azam TV ambayo nimeilipia lakini sijapata huduma ninayostahili, pamoja na kushindwa kabisa kupata msaada kutoka kwa huduma kwa wateja.
1...
Hayo yamesemwa na raise mstaafu wa Kenya alipokuwa akiongea na vijana wa shule ya upili ya Alliance.
Kenyatta aliongea mambo mengi ikiwemo madhara ya madawa, kushindwa kufikia malengo saba u ya...
Wakuu,
Nadhani umefika wakati Wizara ya Kilimo iangalie upya namna tunavyoendesha Maonesho ya Nane Nane nchini ili yawe na matokeo makubwa zaidi kwa mkulima na sekta ya kilimo kwa ujumla...
Vijana wa Gen Z hawana madhara kwa Taifa lolote duniani
Wanachotaka ni ajira na mitaji, haki pamoja na ukweli
Vijana wa Gen Z wana upeo mkubwa sana wa akili, wanafahamu mambo mengi ambayo...
SHEIKH Jafari Lema ambaye alikuwa Imam wa Masjid Quba Jijini Arusha, na wenzake watano, wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa na Mahakama ya Rufaa Arusha.
Mahakama ilitoa hukumu hiyo siku ya Jumatatu👉...
Eneo la Kabwe ni mfano halisi wa changamoto zinazohitaji maamuzi ya uongozi.
Wafanyabiashara wadogo wanahitaji kupangwa katika maeneo yanayofaa ili waendelee kutafuta riziki bila kuziba njia za...
Itoshe tu kusema Jiji la Mbeya ni moja ya miji yenye miundombinu duni kabisa Tanzania hii.
Jiji lisilo na mpangilio maalumu, barabara duni, mifereji ya majitaka mibovu na inasababisha kujaa maji...
Kuna mada niliandika usiku wa tanzania kuhusu ,kama kuna mtanganyika alisaidiana na utawala uliopo sasa wote mpo kwenye list ya kufutwa kwa vifo au kupewa kesi za gereza.
Hawa washakuwa watawala...
Wanabodi,
Niko hapa jijini Dodoma kwenye maonesho ya 88 kitaifa, uwanja wa Dr. J.S. Malecela, Nzunguni Dodoma, ambapo kuna mambo mazuri sana. Asubuhi niliwaletea...
Kati ya Igunga na Tanga, ni eneo lipi linafaa zaidi kwa mfanyakazi kuishi kwa muda mrefu?
Tafadhali linganisha maeneo haya ukizingatia vigezo vifuatavyo:
Maisha nje ya kazi (quality of life)...
Muungano wa Mapogo (mapogo coliation) ulikuwa kundi maarufu la simba dume sita wenye nguvu ambao walitawala eneo la Sabi Sands la Afrika Kusini katika Hifadhi ya Kitaifa ya Kruger kutoka 2006 hadi...
Si salama kufanya uhalifu wa njia ya mitandao ya Kijamii kwasababu Kampuni ya META inashirikiana na Serikali zote duniani kukatama wahalifu wa njia ya mitandao ya kijamii
Mara kadhaa Kampuni hii...
Nchini Nigeria, asilimia 77 ya wanawake hutumia bidhaa za kubadilisha rangi ya ngozi (bleaching), jambo linaloifanya kuwa na kiwango cha juu zaidi cha matumizi ya bidhaa hizo barani Afrika. Aidha...
Jamii forum ndo jukwaa lenye mchanganyiko wa watu mbalimbali wakiwemo wasomi na watu wenye vitengo mbalimbali n.k. Hivyo wingi wa uchangiaji kwenye mada fulani unaweza kusaidia kuiona sura ya...
Natoa wito Kwa serikali kuipandisha hadhi Manispaa ya Geita kuwa Jiji kwani Ina vigezo stahiki.
Ukiacha vigezo vya ujumla lakini Geita imekishi vigezo muhimu zaidi vya Mapato ya ndani ambapo Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.