M Malaria 2 JF-Expert Member Joined Oct 17, 2023 Posts 9,397 Reaction score 14,593 Aug 9, 2026 #1 Vijana swala zinawashinda za dakika 5, wanashinda kwenye TV wakiangalia yanga na Simba day.
M mbari sa menya JF-Expert Member Joined Apr 29, 2022 Posts 1,010 Reaction score 1,938 Aug 9, 2026 #2 Malaria 2 said: Vijana swala zinawashinda za dakika 5, wanashinda kwenye TV wakiangalia yanga na Simba day. Click to expand... Sasa Sheikh kama vijana wanaisikia athana, na hawaendi kuswali ukiandika humu hawatakuelewa, Wewe waombee dua pengine watabadilika,
Malaria 2 said: Vijana swala zinawashinda za dakika 5, wanashinda kwenye TV wakiangalia yanga na Simba day. Click to expand... Sasa Sheikh kama vijana wanaisikia athana, na hawaendi kuswali ukiandika humu hawatakuelewa, Wewe waombee dua pengine watabadilika,
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 63,872 Reaction score 108,309 Aug 9, 2026 #3 Tuliza mzima sheikh, mpira ni mkubwa kuliko dini.
M Mopak JF-Expert Member Joined Sep 19, 2024 Posts 2,646 Reaction score 5,708 Aug 9, 2026 #4 Dini zililetwa tuu.