Afcon kinanuka
JF-Expert Member
- Apr 5, 2026
- 890
- 2,375
Kahama ni mji unaosifiwa sana na watu washamba ambao hawajatembea miji ya wenzetu ambao wanatumia rasilimali zao vizuri kupendezesha miji yao.
Siku nilipofika kahama nikawa najiuliza hizi sifa zinazomiminwa kuwa kahama ni mji mzuri kwa nini mimi sizioni.Ukianzia miundombinu ya barabara ni mashimo tu na vumbi la kutosha.Mji wenyewe kwa ujumla umejengwa kiholela(hakuna mvuto na unanuka(kila sehemu takataka.
Stendi yenyewe ya hovyo tu licha ya kuwa na mapato makubwa yatokanayo na migodi.NINYI WASHAMBA MNAOSIFIA HUU UTOPOLO MJITAFAKARI AU MJITAHIDI MTEMBELEE NCHI ZA ULAYA AU HATA TU RWANDA.NAHITIMISHA KUWA MIPANGO MIJI TANZANIA NI ZERO.