Hivi karibuni hapa JF tulijadili sababu za Dangote kuhamishia ujenzi wa Refinery toka Tanga kwenda Mombasa. Tunajua sababu kwa nini Dangote alifanya hivi - kwamba ilikuwa hasira ya raisi Samia...
Halmashauri ya Mansapaa ya Ubungo imetoa taarifa inayoonesha utaratibu wa maegesho kwenye vijiwe vya bodaboda na bajaji wanaopaki kwa vikundi.
Taarifa hiyo inaeleza kuwa wanatakiwa kufanya...
Member,
Nimekumbuka changamoto iliyonikuta ikaibua tabia addiction,,
Ni hivi niliwai kusafiri kwa treni kwenda Kigoma kufwatilia kazi ya tenda,, sasa kufika pale Tabora nakagundua begi la nguo...
Leo nimekumbuka utawala wa awamu ya tano chini ya Jemedari hayati John Pombe Magufuli.
Nakuletea watu mashuhuri (Viongozi) waliopendwa sana na hayati Magufuli katika utawala wake.
Orodha hii...
Sioni haja ya kila kampuni ya mabasi iwe na kituo chake cha kushushia abiria, inatosha wakiishia kituo kikubwa cha mabasi Mbezi Magufuli itasaidia kupunguza msongamano ktk mji na pia stendi ya...
Kwanza nianze kwa kusema asante sana JamiiForums kwa kufikisha ujumbe wetu kwa umma na hatimaye kufika kwa mabosi wa juu, kwani muda mfupi baada ya taarifa hiyo kuhusu changamoto ya ardhi kwa...
Yuko wapi huyu Mwana Harakati Mkatoliki....??!!
Alibamba sana katika kuikosoa Serikali enzi zake akiwa Askofu Mkuu Msaidizi wa Jimbo Kuu La Dar Es Salaam?!!!
Alipenda kubamba kupitia BBC...
Hii ni thread maalum kwa jambo lolote ambalo hulijui.!
Kwenye thread hii utauliza wenye kujua jambo hilo watakujuza......,
(Mfano»
Je.? kwa nini wanaume ndo wanakufa halaka kuliko wanawake...
Nimesikiliza hotuba ya Askofu Sylvesta Gamanywa katika kongamano la wachungaji wa Wapentekoste wa Wimbi la Mitume na Manabii na wa CAG
Ninaandika haya si kama mwakilishi wa upande wowote, bali...
Mkaguzi wa Polisi Kata ya Mwaya, Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro, Mkaguzi wa Polisi (INSP) Masengi Marwa, ametoa mafunzo kwa wanafunzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Mwaya kuhusu matumizi...
Mnakumbuka tukio la majambazi kuvamia pugu sec mwaka 2003 hadi kupelekea mauaji ya mwanafunzi mmoja?
Wenye stori kamili tunaomba mtupatie
Rest Easy Mwamba
Res
Nakumbuka nilihamishwa kikazi kipindi fulani na kukaa katika wilaya ya Arumeru, halmashauri Meru, aloo sinawahi kukutana na sampuli la kabila hili la wameru aiseehawa jamaa kiboko!...
Yaani...
Wakazi wa Salasala (kata ya Wazo, Wilaya Kinondoni) tunapata sana adha ya maji, DAWASA wamezidi kuwa na majibu ambayo hayaridhishi.
Tunakaa mwezi bila maji na wakifungulia yanakuwa hayana...
Una maoni yapi?
Nukuu ya Mwandishi mkongwe Salim Said Salim
"Mfumo wa elimu ubadilike. Wenzetu kama China na wapi wanafundishwa ustadi wa mambo na maisha na kuwa socially responsible. Sisi...
Kwa muda mrefu wananchi wa Dar es Salaam tumekuwa tukitegemea huduma za mabasi ya UDART kwa usafiri wa kila siku.
Awali, nauli ya kutoka Mbezi hadi Kimara ilikuwa Tsh 500 kwa umbali wa takribani...
Ningekua na uwezo ningefuta kazi askari polisi wote au kuwapa majukumu mengine.
Serikali mnaona rushwa inavyotembea kwa polisi au hamuoni? Na kama mnajua mmechukua maamuzi yapi dhidi yao ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.