Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nakumbuka nilihamishwa kikazi kipindi fulani na kukaa katika wilaya ya Arumeru, halmashauri Meru, aloo sinawahi kukutana na sampuli la kabila hili la wameru aiseehawa jamaa kiboko!... Yaani...
37 Reactions
97 Replies
6K Views
Anonymous
Wakazi wa Salasala (kata ya Wazo, Wilaya Kinondoni) tunapata sana adha ya maji, DAWASA wamezidi kuwa na majibu ambayo hayaridhishi. Tunakaa mwezi bila maji na wakifungulia yanakuwa hayana...
0 Reactions
0 Replies
62 Views
Una maoni yapi? Nukuu ya Mwandishi mkongwe Salim Said Salim "Mfumo wa elimu ubadilike. Wenzetu kama China na wapi wanafundishwa ustadi wa mambo na maisha na kuwa socially responsible. Sisi...
1 Reactions
1 Replies
65 Views
Anonymous
Kwa muda mrefu wananchi wa Dar es Salaam tumekuwa tukitegemea huduma za mabasi ya UDART kwa usafiri wa kila siku. Awali, nauli ya kutoka Mbezi hadi Kimara ilikuwa Tsh 500 kwa umbali wa takribani...
2 Reactions
1 Replies
283 Views
Ningekua na uwezo ningefuta kazi askari polisi wote au kuwapa majukumu mengine. Serikali mnaona rushwa inavyotembea kwa polisi au hamuoni? Na kama mnajua mmechukua maamuzi yapi dhidi yao ...
0 Reactions
3 Replies
62 Views
1. Mtoto wa Raisi Kuna tofauti kubwa sana ya kuoa mtoto wa Rais na mtoto ambaye mzazi wake amekuja kuwa Rais mbeleni (ni watu 2 tofauti) 2. Nchi tofauti. Tofauti za kitamaduni,kimazingira na...
3 Reactions
5 Replies
119 Views
Wakuu kuna mjadala nimeukuta facebook sasa nilitaka kujua ukweli wa jambo ukoje Maana inasemekana wao ili wakupe kazi hawahitaji nida,passport wala kadi ya mpiga kura isipokuwa nguvu zako tu...
4 Reactions
7 Replies
141 Views
Askofu wa Jimbo Katoliki la Bunda, Simon Chibuga Masondole, amesema baadhi ya vijana nchini wameingia katika tabia ya kuiba katika maeneo ya kazi, hali ambayo imeanza kugeuka kuwa utamaduni katika...
2 Reactions
19 Replies
201 Views
Teknolojia ya akili unde (AI) imeendelea kutumika katika maeneo mbalimbali kama elimu, uandishi wa habari, biashara, ubunifu na huduma kwa wateja. wapo wanaoona akili unde inarahisisha kazi na...
0 Reactions
1 Replies
67 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wamiliki wa silaha kuhakikisha wanakamilisha vibali na taratibu zote za kisheria za umiliki wa silaha zao kabla ya Agosti 30, 2026...
0 Reactions
3 Replies
110 Views
Hayawi hayawi yametimia. Baada ya hotuba ya rais wa Rwanda Paul Kagame kwa vijana wake akiwataadharisha juu ya athari ya pombe na hatima ya maisha yao leo naona habari yenye mvuto juu ya kupipgwa...
3 Reactions
7 Replies
226 Views
Hatimaye Ester Noah Mwanyiru mwanafunzi wa sekondari ya Pandahill aliyetoweka 18 May 2023 amepatikana. Taarifa iliyotolewa na mama yake mzazi inaeleza amepatikana wilayani Mbalizi kwa mama fundi...
58 Reactions
372 Replies
39K Views
Tunaomba viongozi mnaohusika akiwepo mkuu wa biashara mtusaidie please. Serikali inategemea tulipe hizo leseni za biashara ili maendeleo yapatikane. Sasa mtu anakaa na maombi wiki mbili...
0 Reactions
0 Replies
49 Views
CEO wa M Bank Tanzania Sanjeev Kumar, jana usiku amevamiwa na majambazi ambao wamechukua SAFE yenye fedha na pia wamemuua mke wake....So sad
3 Reactions
83 Replies
11K Views
Mwaka Fulani nikiwa Dar coco beach, nilibahatika KUMUONA Mukoko Tonombe akifanya mazoezi mepesi nadhani hicho ndio kilikua kipindi katoka majeruhi ya muda mrefu. Kwa pembeni yake alikuwepo mtoto...
2 Reactions
15 Replies
327 Views
yes nyumba Bilal fensi ni risk kubwa kubadili ukatae ukweli uko hivyo
1 Reactions
0 Replies
53 Views
Kuna tukio limetokea Dodoma eneo la Chaduru, ambapo kijana aliyekuwa akijaribu kuiba kwenye duka la spare mkono wake ukanasa kwenye sehemu ya duka, na inaelezwa kwamba alikaa hivyo kwa zaidi ya...
3 Reactions
13 Replies
210 Views
Osama bin Laden: Kiongozi na mwanzilishi wa Al-Qaeda, aliuawa na vikosi maalum vya Marekani nchini Pakistan mnamo Mei 2011. Abu Bakr al-Baghdadi: Kiongozi mkuu wa kundi la Dola ya Kiislamu (ISIS...
1 Reactions
2 Replies
126 Views
Kumekucha kwa speed vitu vyote pendwa vipo sokoni kazi kwenu wateja ingawaje unaweza beba bidhaa zote kwa pamoja kwa kuzifuatilia
2 Reactions
6 Replies
64 Views
Habari za asubuhi members, NSSF wametambulisha mfumo (Online Application - NSSF Unemployment Benefits) ambao naona umekuwa ni kero kubwa hasa kwa waathirika wa ajira ambao wanafuatilia mafao ya...
1 Reactions
0 Replies
218 Views
Back
Top Bottom