Je:Askofu Method Kilaini?

Je:Askofu Method Kilaini?

Idimulwa

Platinum Member
Joined
May 27, 2011
Posts
6,027
Reaction score
4,695
Yuko wapi huyu Mwana Harakati Mkatoliki....??!!

Alibamba sana katika kuikosoa Serikali enzi zake akiwa Askofu Mkuu Msaidizi wa Jimbo Kuu La Dar Es Salaam?!!!

Alipenda kubamba kupitia BBC -Swahili Service..akafuatiwa na Ukimyaaaa..Mpaka Leo hii?!!
 
Yupo Jimbo Katoliki Bukoba ameshastaafu.
 
Yuko wapi huyu Mwana Harakati Mkatoliki....??!!

Alibamba sana katika kuikosoa Serikali enzi zake akiwa Askofu Mkuu Msaidizi wa Jimbo Kuu La Dar Es Salaam?!!!

Alipenda kubamba kupitia BBC -Swahili Service..akafuatiwa na Ukimyaaaa..Mpaka Leo hii?!!
Pona baba,pona hiyo Chuki uliyomezeshwa madrasa dhidi ya ukatoliki!
Kwa akili yako unaamini unaudiscredit ukatoliki na hii itasaidia kuinufaisha dini yako!
Pona kwa Jina lipitayo majina yote la Yesu Kristu wa Nazareth aliye Hai!
 
Huna unalolijua kuhusu Ukatoliki na mie siko huko ulikomezeshwa wewe...

Nikikuuliza. -ULALO MWEKUNDU- ni kitu gani kwenye Ukatoliki utanijibu??
Jibu hapa tuendelee
 
Jibu hapa tuendel

Huna unalolijua kuhusu Ukatoliki na mie siko huko ulikomezeshwa wewe...

Nikikuuliza. -ULALO MWEKUNDU- ni kitu gani kwenye Ukatoliki utanijibu??
Jibu hapa tuendelee
Naomba nikupuuze tafadhali!
 
Back
Top Bottom